Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1000026279.jpg
 
SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani. Yani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa unaongea tu na sio facts tena.
Kenya hadi sasa reli yao imetokomea porini huko haijulikani lini inaendelezwa.
hujamalizia,
1791711351625.png
 
Back
Top Bottom