Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha utoto basi.
198099.jpg

Kama huu we mpuuzi?
 
Kama hii na unajua hapa ni Kiambu County? Sio hata Nairobi 😆😆 hii si ndo barabara ya Kimara hadi Kibaha 🤮🤮
View attachment 3684838

Gridi ya umeme inazima mara kwa mara treni halisafiri mara lidondoke yani tafrani

More tham 602 currently on operational

View attachment 3684840
Hii ni flyover ya 700 kama sio 800 Kenya
Punguza mirungi.

Naona ndio inayokusumbua.

Kiambu ni nje kidogo sana ya Nairobi, ambacho ni kimji kidogo sana.

Yaani hata uchukue hiyo Kiambu, uunganishe na Nairobi bado haifikio Dar kwa ukubwa.

Lakini pia hakuna barabara ya kutisha hapo, unless nazungumza na kijitu kinachokaa Kondoa.

Gid kuzima ni kawaida, maana siyo pepo hoyo.

Trein ina miaka 2 kuzima mara 2, unaleta hata stori kitafuna mirungi.

Waa.bie basi na wao waweke umeme kwanza, hata huo unaozima.
 
Punguza mirungi.

Naona ndio inayokusumbua.
Vipi starehe yako ipi?
Kiambu ni nje kidogo sana ya Nairobi, ambacho ni kimji kidogo sana.
Kibaha ikoje?
Yaani hata uchukue hiyo Kiambu, uunganishe na Nairobi bado haifikio Dar kwa ukubwa.
Hatuzungumzii ukubwa tunazungumzia hivi
198096.jpg

Lakini pia hakuna barabara ya kutisha hapo, unless nazungumza na kijitu kinachokaa Kondoa.
Hii mnayo?
198100.jpg

Gid kuzima ni kawaida, maana siyo pepo hoyo.
😆😆😆😆
Trein ina miaka 2 kuzima mara 2, unaleta hata stori kitafuna mirungi.

Waa.bie basi na wao waweke umeme kwanza, hata huo unaozima.
Kudondoka?
Sgr ya kenya haijawahi kudondoka

Tena SGR ya bongo ipo siku itaua watu karibu wote
 
Vipi starehe yako ipi?

Kibaha ikoje?

Hatuzungumzii ukubwa tunazungumzia hiviView attachment 3684973

Hii mnayo?
View attachment 3684975

😆😆😆😆

Kudondoka?
Sgr ya kenya haijawahi kudondoka

Tena SGR ya bongo ipo siku itaua watu karibu wote
Kudondoka?
Sgr ya kenya haijawahi kudondoka

Tena SGR ya bongo ipo siku itaua watu karibu wote

images.jpeg
 
Lini ipo on operational toka 2017

Woteee si kwa sababu ni ya umeme kwa sababu ya miundo mbinu yake ya reli wallah itakuja kumaliza shwaa
Woteee si kwa sababu ni ya umeme kwa sababu ya miundo mbinu yake ya reli wallah itakuja kumaliza shwaa
images.jpeg
 
Back
Top Bottom