Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Swali ni rahisi lakini unakimbia kimbia, nimekwambia GLASS building, tafauta kenya nzima kokote kwenye glass building ulete
198085.jpg

Hii ni mama samia alijenga?
 
Hio sio glass building we fala hayo ni madirisha 😂😂 na huoni kabisa toka chini ni zege na sio glass
Wewe kapigwe miti, pale amell ni glass tupu? Umehwahi kufika unakatwa nini weee
 
Zile picha za tabata na vingunguti ulizokua unataka kucompare na mathare zipo wap? 😂😂😂😂😂 Vp kuhusu stendi? Kapicha basi mwanaetu 😂😂😂😂
198169.jpg

Hadi mama samia anaingia kaburini hamuwezi kuwa na barabara kama hii
 
Back
Top Bottom