Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Show me such BRT highway in Kenya. I will walk naked the all day. 😀
Tanzania-construction-dart-dar-rapid-transit.jpg
25.jpg
caee4817eabdb4e72893fd032eb0d95f.jpg
this u will never find in tz towns a part from dar is aslum ..wazidi wakikimbiza opepo
 
hoima to tanga oil pipe line hio isahau ndugu, ni baada kuona tullow ameyumba na bado anasuasua juu ya ujenzi wa bomba la mafuta kutoka lokuchar kwenda lamu, mukamuomba total aje kunusuru hio project, labda nikupe hesabu rahisi tullow alishaona kujeng pipeline from lokichar to lamu ni hasara kwake, yani ajenge pipeline 750 km alaf uwezo wa kusukuma mafuta 2000 barrels per day alaf mafuta yenyewe yako 663m barrels, tumia akili ya kimahesabu tu, 😀😀😀😀😀 makampuni ya nje yapo kimaslahi sio kwa ajili ya sifa, tullow alishaona hasara ndio maana anawazungusha mukaamua mumuombe total awasaidie, so total pia hawezi kufanya kazi ya hasara, poleni sana inauma sana😛😛😛😛

tulimaliza kwenye bomba sasa tunataka kumaliza kwenye SGR, rwanda tayari bado tumalizane na uganda na kumbuka without uganda kenya SGR is white elephant

Keep consoling yourself so. Remember Tz is only providing land for the pipeline passage and has no oil of its own along the route and these oil magnates can still change mind to deal with the real oil stakeholders! If the Hoima-Tanga route was to harness all of Uganda/Juba/Kenya oil load then it would make sense but remember a lot is going on the background. Not over until it's over!
 
Yah that's the issue they don't want to accept
 
biashara ilishaisha nashangaa unatoa kilio leo, tanzania is searching oil along lake tanganyika na ukumbuke hilo bomba kutoka hoima kwenda tanga itajengwa gas pipeline parallel to that oil pipeline , nia yetu ni kusambaza natural gas to uganda, rwanda, congo burundi and kenya
bila kusahau zambia and malawi,

tenders zishatangazwa za oilpipeline from hoima to tanga, najua inakuuma sana ila bado utaumia sana uganda akijiunga na Tanzania SGR hapo ndipo utalia vzr😀😀
 
Keep consoling yourself so. Remember Tz is only providing land for the pipeline passage and has no oil of its own along the route and these oil magnates can still change mind to deal with the real oil stakeholders! If the Hoima-Tanga route was to harness all of Uganda/Juba/Kenya oil load then it would make sense but remember a lot is going on the background. Not over until it's over!
who told u tanzania haina oil???😀😀😀😀

Tanzania and DRC Sign MoU for Oil and Gas Exploration in Lake Tanganyika - TanzaniaInvest
 
Yah that's the issue they don't want to accept
Kenya mna roho ngumu sana, na akili zenu pia haziko sawasawa, ujenzi wa Tanga Hoima umeshaanza, pesa yote imeshatolewa, hivi bado mnafikiria kwamba mradi utabadilishwa?, hiyo ni sawa na kusema kipande cha SGR cha Nairobi - Naivasha hakitojengwa, wakati kazi inaendelea, ninyi lazima mkubali kwamba huo mradi mlishapoteza, acheni kuendelea kulia sana haitowasaidia lolote lile zaidi ya kuwazidishia machungu.
 
jamaa wameumia sana😀😀😀😀😀😀 anaota ujenzi kurudi kwao wakat tenders zimeshatangazwa na ujenzi umeanza
 
Wakati unaendelea kuota ndoto za mchana kuhusiana na hiyo pipeline. Huku mambo ni motooo
Screenshot_20180125-112855.png
Keep consoling yourself so. Remember Tz is only providing land for the pipeline passage and has no oil of its own along the route and these oil magnates can still change mind to deal with the real oil stakeholders! If the Hoima-Tanga route was to harness all of Uganda/Juba/Kenya oil load then it would make sense but remember a lot is going on the background. Not over until it's over!
 
lol......what the hell are those......moja inakaa pikipiki race course
Wewe sikulaumu. Thus why you use YouTube as your search engine instead of Google. Nie ndowatu mliotoka ushago nakujifanya Nairobi mnaijua kuliko wenyeji.
 
UK to pull out of cash transfer plan for hungry Kenyans

WEDNESDAY, JANUARY 24, 2018 20:58

BY MUTHOKI MUMO

The UK government will in six years discontinue its support for a cash-transfer programme targeted at hunger-stricken communities in Kenya.

Britain’s International Development secretary Penny Mordaunt told The Guardian that the Kenyan government would be expected to shoulder the whole cost of the 20.4 billion (£143 million) programme.

The government already supports 65 per cent of the Hunger Safety Net Programme (HSNP) and Ms Mordaunt said the transition was occasioned by Kenya’s “profound success” in the project.

Households that cannot afford their basic expenses receive cash transfers of about Sh5,400 every two months under the HSNP programm

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka watu washift kwa road to rail mara moja...
vitu hutake time like 6month period..jinga sana
Lool, I didn't know you this Lunatic.. Watu siku zote wanaangalia Urahisi, Efficiency and Time Saving. Hii Treni yenu ya 70s doesn't meet majority and Today's world demands. The business will never be favourable. First its Old na very Expensive compared with the Road wakati SGR is meant to be Fast, Cheap and Time saving.. I wonder where's your 2Billion education budget go. You seriously need some education
 
Back
Top Bottom