joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Waambie hao waandishi wa Kenya walioandika habari hii katika gazeti la Kenya kwamba ni mambo ya kitoto. Hivi SGR kukosa mizigo ambayo ndiyo yenye kuingiza faida kubwa ni jambo la kitoto?, jambo gani ungependa kusikia kati ya njaa, tribalism, corruption, insecurity, unemployment, slums, poverty, NASA vs Jubilee?Post vitu mature si kujaza utoto hapa
