Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm siku hizi napita nasoma comments hata ham ya battle sina tena maake ilasha kuwa ya kitoto ukiona mtu anaandika Ela badala ya Hela unatakiwa ujiulize najadiliana na nani kuna wengine hapa ilikuwa Mama anaupiga mwingi siku hizi siwaoni tena au ndugu zao walifyekwa 29# mambo ni mengi mzee mwenzangu acha tuone tutakapo ishia tunawacheka wakenya lakini nasisi tunaelekea huko huko mikopo mingi inaishia kwa watu na familia zao hakuna wa kuuliza serikali haiheshimiki tena kwa wananchi

maskini nchi yangu sijui imepatwa na nn🥺

 
Now, post whatever you just wrote in English Mr. Baboon.
 
Now, post whatever you just posted in English Mbilikimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…