COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
TransmittedHaya rekebisha basi, badala ya neno transportation ningetumia neno gani?
TransmittedHaya rekebisha basi, badala ya neno transportation ningetumia neno gani?
Hongereni Kwa kurusha chupa ya maji safi anganiKenyan satellite ready to launch into space

Hivi unajua tofauti kati ya satellite na ballistic missile?😀😀😀😀😀mbona Zuma wa SA ali launch yake last month?Hongereni Kwa kurusha chupa ya maji safi angani
NB:Angalieni trump asije akaisikia tukaambualia aibu tena si unajua maumivu ya shthole hayajaisha![]()
hahahahaha... mungu wangu nimecheka sana wallah.Hongereni Kwa kurusha chupa ya maji safi angani
NB:Angalieni trump asije akaisikia tukaambualia aibu tena si unajua maumivu ya shthole hayajaisha![]()

Asante sana kwa kuwa mlinzi bora wa lugha ya wazungu, ushauri wangu, uwe makini zaidi kuwarekebisha watu kiswahili, hiyo ndiyo lugha yetu ya mataifa ya Kenya na Tanzania, kwetu sisi hatuoni ufahari wala kujisikia vibaya mtu anapotumia maneno ya kiingereza vibaya, huko kwenu ni tofauti sana, kujua kiingereza ni ufahari na unaonekana umeelimika, kwahiyo usipoteze muda wako mwingi kuangalia makosa ya kiingereza toka Tanzania, sisi tunajali sana points zako unazozungumza, sio lugha kama unazungumza kiswahili au kiingereza kizuri.Transmitted
umeambiwa uonyesshe mahali panafanana hivi..wacha kulenga story bro
![]()
Fair ila kwa dar wali nyama au pilau kama Ilo ni 2500 periodFood only at sh 150 or 3000 tsh![]()
![]()
We use concrete posts in Kenya we left those postsstiegler's gorge dam coming soon
View attachment 683627
mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 2100 ikiendelea. Kazi hiyo inatekelezwa na kampuni ya ETDCO ambayo ni kampuni tanzu ya TANESCO
So....!!!?Tanzania nawaona mbali sanaa
I think this competition should stop, we should not be competing with economic dwarfs. Know your rank, level and your friends. Let us dedicate our battle to other worth noting countries
The Africa Infrastructure Development Index (AIDI), produced by the African Development Bank also ranks infrastructure developments across the continent based on four main components: transport, electricity, ICT, and water and sanitation.
These components are disaggregated into nine indicators that have a direct or indirect impact on productivity and economic growth.
There is a wide variation among African countries in their infrastructure gap, with a range of more than 90 percent between the country at the top of having good infrastructure (Seychelles) and the country at the bottom (Somalia).
View attachment 683635
haya tuoneshe sasa😀😀😀😀😀We use concrete posts in Kenya we left those posts