babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,361
- 35,868
Usisahau na hii.Can someone in Tanzania seriously and kindly explain to me what’s the meaning of this ….i am lost …
View attachment 3670843
Usisahau na hii.Can someone in Tanzania seriously and kindly explain to me what’s the meaning of this ….i am lost …
View attachment 3670843
Naona toyota kwenye picha.
Mara nyingine unawasoma hawa mbuzi wapuuzi unawapuuza tu.Nani kakuambia hao ni TPDF?
Hahaha ushangae, walivyoona TZ in hizo wakajiobgezea chap, na trust me by end of 2027 hawa watapublish MW5000+Hizi Megawatts za Kenya ni za kupika, vyanzo vyao vya umeme hao mbwa tunavijua, sidhani kama wamevuka 2000 MW.
Nchi inaendeshwa kwa uongo uongo kama raia wao humu ndani jf. 😂😂😂😂 ni last year tu walikua na 2000+MW eti leo wanatuletea number za almost 4kMw kwa project ipi waliojenga ndani ya hii miezi kadhaa iliyopita.?. 😂😂😂Hahaha ushangae, walivyoona TZ in hizo wakajiobgezea chap, na trust me by end of 2027 hawa watapublish MW5000+
With zero projects kwa ground 😆😆😆
Hapa kuna harufu nimeanza kuisikia ya upikaji data 😂😂😂Hahaha ushangae, walivyoona TZ in hizo wakajiobgezea chap, na trust me by end of 2027 hawa watapublish MW5000+
With zero projects kwa ground 😆😆😆
Is that something modern to you? Wonders shall never cease to happen in Kibera land.How will you know when at this age you are still building old age stadiums?
an
That's an accessible stadium entrance gate designed to manage crowd flow while providing access to the seating areas.
Umeona hizo bawaba! 😂😂😂Is that something modern to you? Wonders shall never cease to happen in Kibera land.
Talanta😁Uwanja wa ngong ni upi?
Hawa jamaa ni washamba sana wa vitu vidogovidogo ndio maana wanadanganywa kirahisi na politicians wao.Umeona hizo bawaba! 😂😂😂
View attachment 3671041
Uwanja wa ngong ni upi?
Wakunya wanahongwa mpaka SUKUMAUsisahau na hii.
View attachment 3670903
Ni city kabisa huoni iko na hotel kabisa na tourists wana visit?BTW hii ni city
View attachment 3670633