Itabidi ufunge jicho moja ndio uone what is displayed hapo 🤣🤣🤣🤣No different to Amahoro, only I am bewildered to see a 32 inch screen View attachment 3670893
Itabidi ufunge jicho moja ndio uone what is displayed hapo 🤣🤣🤣🤣No different to Amahoro, only I am bewildered to see a 32 inch screen View attachment 3670893
Unajua unaweza ukapima economic development kwa vigezo mbali mbali mfano maendeleo ya soka yanaashiria spillover effect ya development na ndio maana nchi zote mfano hapa Africa zenye ligi na teams bora ni nchi zenye uchumi mzuri amabo ni halisi na sio uchumi artificialhawa ni mpira mdomo, cha ajabu naona reality ishaanza kuwaingia wamebaki wanalalamika AFCON sasa itakuaje 😂
alafu hawaongei sana, mnaingia uwanjan kamba 8 na huezi wakuta wanatamba 😂😂😂 kama hawajashinda vileUnajua unaweza ukapima economic development kwa vigezo mbali mbali mfano maendeleo ya soka yanaashiria spillover effect ya development na ndio maana nchi zote mfano hapa Africa zenye ligi na teams bora ni nchi zenye uchumi mzuri amabo ni halisi na sio uchumi artificial
actually kuna dams zingine zinaendelea under construction but ni mini dams, around 800mw apo zingine 600mw30% ya EAC installed capacity iko TZ hao wengine wote wanagawana the rest
So you are also a porn addict 🤣🤣🤣
Hapa kuna harufu nimeanza kuisikia ya upikaji data 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/2099432110343811500?s=46
Mnapenda kujitekenya mkicheka. Ati sisi tukawacopy.😂😂😂Watu wa vihoteli cheap hata kuwa na proper tour vans walijifunza kutoka kwetu! Walikuwa wanatumia hiace!
no need kupika data, cha muhimu ni kuwacheka tu 😂 😂 😂 ndo kwanza president nae kashaanza kukatiwa umemeSasa hivi wamechanganyikiwa, yaani hii ya Tz imewauma sana, kuna data zao za Acess to electricity za Tz huwaga wanaweka 40%, siku wakijua TZ Ina 100% watapika Data na kupublish chap . Hawa hata data za paved roads wanapika, gdp wanpika .. everything.
Wanahindana na Tanzania wakati Tanzania is minding her own business.
And they still want to compete with us in matters sports.
View: https://x.com/EricNjiiru/status/2099792904382185552