Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wa vihoteli cheap hata kuwa na proper tour vans walijifunza kutoka kwetu! Walikuwa wanatumia hiace!
Mnapenda kujitekenya mkicheka. Ati sisi tukawacopy.😂😂😂
413103.png
 
Sasa hivi wamechanganyikiwa, yaani hii ya Tz imewauma sana, kuna data zao za Acess to electricity za Tz huwaga wanaweka 40%, siku wakijua TZ Ina 100% watapika Data na kupublish chap . Hawa hata data za paved roads wanapika, gdp wanpika .. everything.
Wanahindana na Tanzania wakati Tanzania is minding her own business.
no need kupika data, cha muhimu ni kuwacheka tu 😂 😂 😂 ndo kwanza president nae kashaanza kukatiwa umeme
 
Back
Top Bottom