Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukosefu wa ajira kwa ma-youth umeifikisha nairobi katika hali hii.

mapanyaroad (muggers) yametapakaa kila kona ya cbd hali ni mbaya sana.
Du hizi mambo kama Mogadishu hatari wakija hapa jamii forum wanavimba kweli mashavu kama viboko Nairobi Nairobi kumbe hamna kitu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi vyanzo vyote Ukifuatilia utaona ni wazungu Walioandika... Nyerere was Against all these retards.. Tuzo alizokuwa anapata Mandela ilitakiwa apewe Nyerere shida ilikuwa tu sababu nyerere aliwaamuru waondoke Nchini na yy alikua kinyume na wao
 
Nyerere was a great leader but his ujamaa system wasted you guys...ndio kachangia katika uLDC wenu huyo jamaa
he had his bad side, but at least katuachia umoja, upendo na mshikamano miongoni mwetu... pia alilinda rasilimali zetu zisitafunwe na wachache.

kenyatta senior kawaachia ukabila, pia yeye na watu wake wa karibu walihakikisha wanapora ardhi kubwa ya kenya na kujimilikisha wao wenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
tanzania earns 2.4b usd from tourism sector na mpaka 2025 tutafkisha 16b usd kaa mkao wa kula😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…