Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawa jamaa ela wanayo alafu hawana kelele, si unaona alalhy tu yenyewe usajili mchezaji mmoja $10M
 
Hii mitandao imejua kuwaanika mnoo japo baadhi hasa wa humu bado wapo denial stage. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
si ndo vizuri ili waskimbie, si una thread yenyewe wamebaki sjui 3 walikuepo wengi apa ila ndo ivo picha zilivoanza kutoka mmoja baada ya mwingine wakakimbia, na hali ilivo Teargass nae atakua kakimbia maana serikali imesema usionekane na maziwa pack 2 yeye kaenda kukamua ngombe wa watu
 
Tangu nimuambie apost turnover ya bank statements yake hajaonekana tena humu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You mentioned top club which is mashemeji derby in Kenya (Gor vs AFC). Everytime these two teams meet whether it's Nyayo or Kasarani the stadiums get filled up. Where did you get your 11k figures from?
Ndio nakwambia Simba Fc alone sells out 60k stadium even days before the Game .
 
Wacha vya wenyewe sasa, Post Dareslum. Ama umetokea Misri? Umesahau kwenu πŸ˜…
 
ata ingekua mm lazima nijipigie, nchi haina mwendelezo , kila anaekuja anavuruga cha mwanzo anaanza cha kwake, ya nn kama sio kujipigia
Hakika wacha mwamba apige mabovu,
Kama mzee jomo kenya alikwapua ardhi Sawa na Mkoa wa Morogoro, ardhi inayotosha wakunya milioni 20 yeye ruto ni nani asijisevie mavumba.
 
Hakika wacha mwamba apige mabovu,
Kama mzee jomo kenya alikwapua ardhi Sawa na Mkoa wa Morogoro, ardhi inayotosha wakunya milioni 20 yeye ruto ni nani asijisevie mavumba.
na tena wanampigia kelele za wantam, unafinya vizuri ukiondoka unajua kabisa umeongeza watu kwenye slum
 
Hakika wacha mwamba apige mabovu,
Kama mzee jomo kenya alikwapua ardhi Sawa na Mkoa wa Morogoro, ardhi inayotosha wakunya milioni 20 yeye ruto ni nani asijisevie mavumba.
BTW kenya comes from the name "kenyata" 🀣 🀣 🀣
 
Wacha excuse. AFCON pia mtakuja tu na excuse. Hapo kwenu ni Kariakor derby pekee ndio watu wanaingia stadium kuwatch. Zingine zote ni ziro. Hiyo CHAN mlishinda humu mkisema itatuvua nguo, after imekuwa more successful Kenya kushinda Vumbistan mnasema ni Kagane cup iliyochangamka. I foresee the same in AFCON.
 
Man Apparently this dude is danm rich, so rich,
No wonder sources rank him the most corrupt president in the world.

View: https://vt.tiktok.com/ZSqMaS2n4/

The difference is, here we dare talk. Huko kwenu si ex VP alijaribu kuongea hadi saa hii hawezi patikana? 🀣 🀣 🀣
Na hiyo constitution yenu ya Umbwakni who will dare talk about Suluhu and Kikwete's wealth? 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…