Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbina unaji contradict, I thought Dar hakuna mfuriko kisa hamjajenga kwenye swamp 🤣🤣
We ulisoma mpaka darasa la ngapi?
IMG_3437.jpeg
 
Mbina unaji contradict, I thought Dar hakuna mfuriko kisa hamjajenga kwenye swamp 🤣🤣
We ulisoma mpaka darasa la ngapi?
View attachment 3663578
kuna sehem nmesema dar haina rivers? am talking of that shitty village river kila president anakuja anaongelea the same same shit, na sisi sehem inaosumbua ni apo tu jangwan na hakuna mtu anaishi na hizo BRT zishahamishwa zpo ubungo, mmebaki nyie shitty village mvua inanyesha kichaka chote kinakua swamp
 
Kijana unajielewa kweli? Which river or president are you talking about?
Secondly ni vizuri umekumbuka kuwa Dar kunafurika pia tena zaidi ya Nairobi
 
Kwa hivo source yako ni speculations, hear say, fununu au nduru za kuaminika🤣🤣
Iko wapi report ya CAF! Kwa sababu CAF ikitoa habari kuhusu Talanta lazima na kuwe habari ya Arusha au Mandela ila sijaona..fununu za Kenyan media zisikuchanganye kijana..
View attachment 3663583
No wonder hatukosei kukuita fool, Idiot thats a reputable media they dont move with your hypes
 
Nashuku kama ushawai kufanya project au thesis. Ungejua kuwa there is no way you can defend this type of report. Even if it’s 100% true, this cannot be admissible.
“Sources familiar with the details” ni nini haswa! What’s the reference? Can you site the source?
IMG_3439.jpeg
 
View attachment 3663587
mpaka unatia huruma 🤣 🤣 Ushafika stage ya kubishana na news media sasa 🤣🤣🤣
 
Nakuelewa. akili yako haikukubalii ufanye any type of scrutiny. Inaonekana you don’t even understand the report itself to even figure out what types of questions you should ask. Let alone scrutinize.
 
Back
Top Bottom