Kwani makunya yanapenda mambo ya uongo uongo.? Manuka mavi yanapenda kudanganya kwanini.? Kwani ukidanganya ndio unabidili kinachotokea ground.? 😂😂😂.
Nina miradi miwili ya Grand sultan nimeweka pending nangoja zipostiwe construction sites ndio niipost ili muumie zaidi, mana hapo nitaweka 12 n 13. before I post the twin towers ambazo ninayo construction site yake ila sina render to make the list from 14 to 15 towers.
Guess what ndio kwanzaa tumeanza hizi projects karibu zote zipo kwene hatua za awali between ground breaking to 2nd floor. 😂😂😂.
Kama ni maumivu mjiandae vizuri