stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,874
- 34,575
Una mchezo sana yaani unaeza kujua exact size kwa picha tu! Yaani hata baada ya kusomeshwa kila kitu kwa kiswahili bado uligoma 🤣Kipimo ni Fumba stadium, angalia ukubwa wa pitch ya Fumba alafu angalia talanta 🤣View attachment 3658801View attachment 3658803🤣🤣🤣
apo nasubiria kuskia yamecost ngap 😂😂 police washaanza kuvaa madera, hii mpya
View: https://x.com/NytoP2PMwangi/status/2074902810982818124?s=20
Yaani This man has a right to vote 😅Pitch ya football huwa ile ile mzee, 100 au 120, sizungumzii majengo nazungumzia pitch ya talanta ni kubwa, mmefanya kama reserve, baadae mkitaka kuweka running track mnaweka, ila Fumba stadium hairuhusu running track, ukitaka hivyo itabidi ubomoe uwanja ujenge upya.
Pitch ya football huwa ile ile mzee, 100 au 120, sizungumzii majengo nazungumzia pitch ya talanta ni kubwa, mmefanya kama reserve, baadae mkitaka kuweka running track mnaweka, ila Fumba stadium hairuhusu running track, ukitaka hivyo itabidi ubomoe uwanja ujenge upya.
Bwana caretaker, huku sio Kenya.
Chunga gate watu wasiibiwe. Wachana na mambo ya mbali hayakuhusu.
nasubiria kuskia budget iliotumika 😂😂
View: https://x.com/CapitalFMKenya/status/2093245881466143043?s=20
View attachment 3658828
You can literally fit four pitches in there.🤣🤣
nasubiria kuskia budget iliotumika 😂😂
View: https://x.com/CapitalFMKenya/status/2093245881466143043?s=20
View attachment 3658828
nasubiria kuskia budget iliotumika 😂😂
View: https://x.com/CapitalFMKenya/status/2093245881466143043?s=20
View attachment 3658828
Inaitwa wa kisasa east and central Africa na akina nani? Na wayamwezi ama?Hivi uko timamu kweli? Unataka mnachofanya nyinyi na cc tufanye hivyo hivyo? Ingekuwa hivyo basi Arusha stadium usingeitwa wa kisasa zaidi East and Central Africa mana c vingefanana na talanta.
These are not cabros Nyamwezi. These are a special type of red bricks known as Old Trafford Red, with a history dating back 150 years. Stop comparing oranges with lemonsHapa ni Old Trafford kwa nje mana nyinyi wakenya kwa ushamba mlio nao huwa hamliziki mpk muoneshwe kitu kama hicho ulaya.View attachment 3658857View attachment 3658858