Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo nmegundua wakenya wengi wako less informed, wao wanadhani mambo yapo kwao tu kumbe kwa wenzao kupo vzr kuliko kwao.
Wewe hawker uza zege zako aka chipsimayai in peace.
Tengeneza pesa yako ya madafu ni peace, na ubarikiwe kazi ya mikono yako.

Lakini akili wachia wale wako nayo watumie.
Kufikiria ingekuwa kazi yako, Mungu angekupa nguvu za akili sio nguvu za upishi.

Agreeing with resident rodent stakehigh is the first sign umeanza kutupa ile akili ndogo ulikuwa umebakisha. πŸ˜‚
 
Wanafosi tufanane. They built a stadium that fans will view action one kilometer away and now they're trying to force the same analogy on Talanta.

We also built a stadium with hybrid playing surface now they're claiming they also have one while in real sense hawana. Very desperate creatures
sasa unataka tufanye nn? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi na nyie nani kazindua mashindano top in afrika zaidi ya mwenzake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie ni mafala tu

View: https://www.youtube.com/watch?v=LW5R1zgRKqI&pp=ygUeYWZyaWNhbiBjaGFtcGlvbnMgbGVhZ3VlIG1rYXBh
 
Dah wakenya washamba sana aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Washamba wanapatikana hapa mashambani
IMG_1301.jpeg
IMG_1296 (1).jpeg
 
Wewe hawker uza zege aka chipsimayai zako in peace.
Tengeneza pesa yako ya madafu ni peace, na ubarikiwe kazi ya mikono yako.

Lakini akili wachia wale wako nayo watumie.
Kufikiria ingekuwa kazi yako, Mungu angekupa nguvu za akili sio nguvu za upishi.

Agreeing with resident rodent stakehigh is the first sign umeanza kutupa ile akili ndogo ulikuwa umebakisha. πŸ˜‚
Makasiriko ya nn ss πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe hawker uza zege zako aka chipsimayai in peace.
Tengeneza pesa yako ya madafu ni peace, na ubarikiwe kazi ya mikono yako.

Lakini akili wachia wale wako nayo watumie.
Kufikiria ingekuwa kazi yako, Mungu angekupa nguvu za akili sio nguvu za upishi.

Agreeing with resident rodent stakehigh is the first sign umeanza kutupa ile akili ndogo ulikuwa umebakisha. πŸ˜‚
1787915581780.png
 
Wanafosi tufanane. They built a stadium that fans will view action one kilometer away and now they're trying to force the same analogy on Talanta.

We also built a stadium with hybrid playing surface now they're claiming they also have one while in real sense hawana. Very desperate creatures
Ss kwani uongo kwamba tulianza? Ni kweli kwamba tulianza sisi kuwa na uwanja modern mkubwa (Mkapa), tulianza kutumia hybrid grass technology (Amani), na ukizungumzia football stadium ni sisi ndiyo wa kwanza kabla yenu (Fumba stadium). Talanta ni multi purpose stadium sio ya soccer pekee.
 
Hebu tuonyeshe picha za hybrid pitch ikiwa installed apo Zanzibar.

When yiu talk of football only stadium and multipurpose stadium what do you mean?
 
Back
Top Bottom