Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,271
- 18,088
Nalazimisha nini Nyamwezi? Isn't that suluhisho stadium aka masidisi benzi stadium?Hapa ss unalazimisha 😄😄😄😄😄😄
Nalazimisha nini Nyamwezi? Isn't that suluhisho stadium aka masidisi benzi stadium?Hapa ss unalazimisha 😄😄😄😄😄😄
Picha umeweka nzr na zinavutia na hata nimezi save mana sijawahi kuziona, lkn kwa akili zako unataka kulazimisha zionekane mbaya.Nalazimisha nini Nyamwezi? Isn't that suluhisho stadium aka masidisi benzi stadium?
Cabros za kuweka kwenye street pavements mnaleta uwanjani? And then you call it beautiful? Of course kwa akili ya Nyamwezi it's the best thing everPicha umeweka nzr na zinavutia na hata nimezi save mana sijawahi kuziona, lkn kwa akili zako unataka kulazimisha zionekane mbaya.
Hiyo apo kampuni iliyo install hizo nyasi nenda uulizeHebu tuonyeshe picha za hybrid pitch ikiwa installed apo Zanzibar.
When yiu talk of football only stadium and multipurpose stadium what do you mean?
Shida iko wapi? Au mpk uone imewekwa ulaya ndo uone imependeza, acha ushamba, uliza maana ya hiyo cabros.Cabros za kuweka kwenye street pavements mnaleta uwanjani? And then you call it beautiful? Of course kwa akili ya Nyamwezi it's the best thing ever
we mzee sio kwamba hawajui wanajikuta machizi alafu usipoteze nguvu sanaHiyo apo kampuni iliyo install hizo nyasi nenda uulize View attachment 3658850
Hapa ni Old Trafford kwa nje mana nyinyi wakenya kwa ushamba mlio nao huwa hamliziki mpk muoneshwe kitu kama hicho ulaya.Cabros za kuweka kwenye street pavements mnaleta uwanjani? And then you call it beautiful? Of course kwa akili ya Nyamwezi it's the best thing ever
Compare and contrastPicha umeweka nzr na zinavutia na hata nimezi save mana sijawahi kuziona, lkn kwa akili zako unataka kulazimisha zionekane mbaya.
uwanja wao wamelipa $1.3B ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ i havent healedHapa ni Old Trafford kwa nje mana nyinyi wakenya kwa ushamba mlio nao huwa hamliziki mpk muoneshwe kitu kama hicho ulaya.View attachment 3658857View attachment 3658858
Hivi uko timamu kweli? Unataka mnachofanya nyinyi na cc tufanye hivyo hivyo? Ingekuwa hivyo basi Arusha stadium usingeitwa wa kisasa zaidi East and Central Africa mana c vingefanana na talanta.Compare and contrast
View attachment 3658856
Vs
View attachment 3658852
This...
View attachment 3658859
Vs this... 😂😂
View attachment 3658860
Una mchezo sana yaani unaeza kujua exact size kwa picha tu! Yaani hata baada ya kusomeshwa kila kitu kwa kiswahili bado uligoma 🤣Kipimo ni Fumba stadium, angalia ukubwa wa pitch ya Fumba alafu angalia talanta 🤣View attachment 3658801View attachment 3658803🤣🤣🤣