Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Omondi nani
Huyo hapo
Screenshot_2018-01-22-18-20-00.png
 
Moderator wa jamiiforum pole na majukumu.

najua upo busy sana... please katika shughuli zako usisahau kupitia na thread hii ili uwaadhibu wanaoshindwa kwenda sambamba na policy za JF.

mfano ni huyu kilaza mkenya hapa chini.
ameanza kutusi watu baada kushindwa kuwa mstahimilivu katika mjadala.

7ea48d3ef7d7cd8b61219d8fe77f5258.jpg
 
hawana tribalism lakini bado maskini wa kutupwa......
Aisee hii kitu ya kutopanga miji na makazi inasikitisha na kuushi,sielewi kwa nini hii serikali yetu haioni hili jambo kuwa ni muhimu,mbaya zaidi ni Tzn tu ukienda Zambia,Malawi etc wamejenga kwa mpangilio
Inanikera na inaaibisha nchi yetu thus why nilikataa kujenga nyumba kwenye unplanned settlement
 
Back
Top Bottom