mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Bona unafanana na ng'onykilaza karudi na ukilaza.![]()
![]()
![]()
![]()
Bona unafanana na ng'onykilaza karudi na ukilaza.![]()
![]()
![]()
![]()
Umenikumbusha mbali,nilisomea O level songea/Ruvuma,nimepa miss aiseeHello guys, nimekuja tena leo naendelea na project yetu ya [HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG], so far nimepata feedback nzuri tu hasa wakenya wengi wamekiri wazi kwamba Tanzania is on fire especially standards of living is marginalized
kila mkoa Tanzania una all access to social services provisions tofauti na Kenya kuna counties (majority) ni kama upo jehanam hakuna maisha mtanzania anaweza kuishi huko.
Okay today we are starting with [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] the border region of Mozambique (north) and Malawi (west)
Ruvuma Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the municipality of Songea. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,376,891, which was lower than the pre-census projection of 1,449,830.[1]😛age 2 For 2002–2012, the region's 2.1 percent average annual population growth rate was the twentieth highest in the country.[1]😛age 4It was also the 28th most densely populated region with 22 people per square kilometer.
[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #10 [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]
View attachment 681940 View attachment 681941 View attachment 681942 View attachment 681943 View attachment 681944 View attachment 681945 View attachment 681946 View attachment 681947 View attachment 681948 View attachment 681949 View attachment 681951 View attachment 681952 View attachment 681953
wewe unafunza kichwani kama muliingia choo cha kike usifkiri kila mtu ataingia choo cha kike😀😀Haha tuliza haga sasa...acha kukula mayai before kuku itage
We ni wa pili niliowakumbusha mliposoma kwenye project ya [HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG].Umenikumbusha mbali,nilisomea O level songea/Ruvuma,nimepa miss aisee
Yani jf nikama kwenu ...kilaza anatuleta topic za midoli ya ngono. smh.
huyu kweli ni kilaza.![]()
Wa2 waliichiwa![]()
Meanwhile Moro town kuna mtu anatembelea iyo $190,194/=bila uoga, Lx570 ya 2016 nadhan kama sio 2017
Moderator wa jamiiforum pole na majukumu.
najua upo busy sana... please katika shughuli zako usisahau kupitia na thread hii ili uwaadhibu wanaoshindwa kwenda sambamba na policy za JF.
mfano ni huyu kilaza mkenya hapa chini.
ameanza kutusi watu baada kushindwa kuwa mstahimilivu katika mjadala.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ushamba sioNajua kwa watz iyo ni ajabu ya musaSi ndiyo anaiwakilisha Kenya kimataifa au![]()
![]()
![]()
Una kiherehere
Unataka kusemaje buda?sijaelewa lugha uliotumiaWa2 waliichiwa
Umeelewa lkn ni ushamba. ...na mean muliishiwa hadi MNA post......Unataka kusemaje buda?sijaelewa lugha uliotumia

Hamna iyo ni break tu,afu me napenda ndinga so don't mindUmeelewa lkn ni ushamba. ...na mean muliishiwa hadi MNA post......![]()
Huo utoto mzee kama unaona ni kiherehere sishangai huo ni uboya na ukilaza uliopitiliza hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo kiazi mviringoUna kiherehere
Ujue hii ndinga naionaga sana moro kali kinyamaaa![]()
Meanwhile Moro town kuna mtu anatembelea iyo $190,194/=bila uoga, Lx570 ya 2016 nadhan kama sio 2017
Aisee hii kitu ya kutopanga miji na makazi inasikitisha na kuushi,sielewi kwa nini hii serikali yetu haioni hili jambo kuwa ni muhimu,mbaya zaidi ni Tzn tu ukienda Zambia,Malawi etc wamejenga kwa mpangilio
Inanikera na inaaibisha nchi yetu thus why nilikataa kujenga nyumba kwenye unplanned settlement
Oooooh lkn iii ni Kenyan sectionHamna iyo ni break tu,afu me napenda ndinga so don't mind