Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂
1787421200968.png
 
Huyu Nyamwezi alianza na viti. Baada ya kupata kichapo cha uso, he moved his attention to the grass on the playing surface. Huko akaonyeshwa the middle finger he's now consoling himself with facade lights anasahau waliwekewa cabros ndani ya uwanja kule msituni Arusha
After mambo ya Serengeti foldable seats alihama mambo ya stadiums za kwao . Sasa yeye ni advocate wa stadiums za Uganda, Rwanda na Morocco …Amesahau kwao 🫣🫣🫣😆😆😆😆😆😆😆
 
After mambo ya Serengeti foldable seats alihama mambo ya stadiums za kwao . Sasa yeye ni advocate wa stadiums za Uganda, Rwanda na Morocco …Amesahau kwao 🫣🫣🫣😆😆😆😆😆😆😆
nlikua advocate wa umeme ukasema ni ccm wanaandika, saahv umetukimbia tena hutak kuskia mambo ya umeme

View: https://x.com/Uchumi360/status/2089094387078709264?s=20

nmekuja stadiums bado hamnitaki, sasa nifanye nn 😂😂 nachoka mwandambo
 
Back
Top Bottom