Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli, Watanzania hatupigi sana miji yetu picha kama Wakenya
Ni Bertin ndio anasaidia sana kuonesha maeneo kadhaa ya Tanzania na watu wanatoa picha huko. Bertin bado kuna sehemu nyingi sana Tanzania hajafika na siku akienda utaona watu wataanza kuzipost humu, ni kwa sababu picha recent za maeneo mengi Tanzania kuzipata ni ngumu
Si ati hampendi kupiga mapicha, that answer only comes out when it comes to showing buildings under construction. Mbona jana vile Nicxie aliharibu kuongelea Jangwani bridge mlimrushia mapicha hapa karibu Jamaa wetu apoteze ufahamu?
 
What happened to modern stadiums that have foldable seats? We were told no modern stadium uses bakuli seats anymore 🤣🤣🤣
mwenyewe sielewi
1786646058795.png
 
Mambo ya South Sudan yakuhuzu nini … kwanza jibu swali… where are the foldable seats ?…🤣🤣🤣🤣🤣
umenikumbusha kuna mtu alisema, Namquote
"Tanzania ilikua na uwezo wa kuhangaika na SADC peke yake kwenye biashara zake, lakini haiwezi kuacha kuirudisha kisasi EAC" 😂 😂 😂 😂
 
Mambo ya South Sudan yakuhuzu nini … kwanza jibu swali… where are the foldable seats ?…🤣🤣🤣🤣🤣
BTW si unajua south sudan na tz saaahv we are good friends, unaingia bure JUBA, sasa ili swali nani anafaa kuulizwa vizuri 😂 😂
 
You are way off … mke wa jirani simukuli… Lakini Kenya tunakula Mali ya Kilimanjaro left and right …🤣🤣🤣… without Kilimanjaro, Amboseli would be just another regular national park, but it’s one of the most famous safari destinations in the world. It’s the picturesque of Kilimanjaro. Any photos of the mountain in the west where you promote your tourism, the background is always Amboseli .
So I ask again, name any other country that makes money of the neighbor’s property without any restrictions, repercussions or taxes ..
And there is nothing you can do !.. 🤣🤣🤣
Indeed there is nothing you can do about it 😂😂, kuna mtu alisema kuna nchi apa ni SIM 2
1786646945369.png
 
But mwambie akuonyeshe picha za BRT uone ukijaziwa pages Tatu na picha latest latest za BRT, lakini ikifika kwa 20 floors building watakuambia hao hawapendi kupiga mapicha🤣🤣😂😂
ikifika kwenye nn tena
1786647133138.png
 
Back
Top Bottom