Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,309
- 18,150
Insider info. Vipi kuhusu foldable seats? 😂😂ukishamaliza kudoubt utatuambia
Insider info. Vipi kuhusu foldable seats? 😂😂ukishamaliza kudoubt utatuambia
Imagine you can post this render and accompany it with the construction progress when asked to do so. Kuna mwenye atapost render ya 12 floors but ukiwaambia akuonyeshe sasa construction progress anakuambia hana time🤣🤣😂Tallest tower in East Africa
View attachment 3649793
Uganda msifanye makosa kwenye skrepas, MAKE sure they are GLASS and reflect a true modern city, dont use those buildings that look like venezuela soil
View: https://x.com/aitajoel/status/2087877753521541352?s=20
There's no single 20 floors building in this picture whether complete or under construction.Upanga West, Dar es Salaam 🇹🇿🇹🇿
View attachment 3649846
Atakwambia nenda kagoogle utapata.😂😂😂Imagine you can post this render and accompany it with the construction progress when asked to do so. Kuna mwenye atapost render ya 12 floors but ukiwaambia akuonyeshe sasa construction progress anakuambia hana time🤣🤣😂
Bertin alicount 32 towers over 20 floors under constructionThere's no single 20 floors building in this picture whether complete or under construction.
But mwambie akuonyeshe picha za BRT uone ukijaziwa pages Tatu na picha latest latest za BRT, lakini ikifika kwa 20 floors building watakuambia hao hawapendi kupiga mapicha🤣🤣😂😂Atakwambia nenda kagoogle utapata.😂😂😂
Bertin alicount 32 towers over 20 floors under construction
View: https://youtu.be/Ma9msUQP4lk?si=iOcafRVitXwlrfqP
The guy also said that Makwapa will have foldable seats all round🤣😂😂What happened to modern stadiums that have foldable seats? We were told no modern stadium uses bakuli seats anymore 🤣🤣🤣
Ni kweli, Watanzania hatupigi sana miji yetu picha kama WakenyaBut mwambie akuonyeshe picha za BRT uone ukijaziwa pages Tatu na picha latest latest za BRT, lakini ikifika kwa 20 floors building watakuambia hao hawapendi kupiga mapicha🤣🤣😂😂
jamaaa alienda mpaka kwa m7 ila wapDangote anawaendeshaa tuu... Haswa baada ya TZ na UG kuingia kwenye mkataba na Vitol. Tukiangalia uzoefu kwenye sekta ya mafuta na refinery.. na pia ukwasi wa kampuni huyu Dangote ni mtoto mdogo sana kwa Vitol... Na bado kumbe source ya crude alikuwa anavizia UG.. ndio bhas tena hapo hakuna shughuli...
View attachment 3649828
Kama hazifiki 10 it's okay. Hawezi kuonesha zote maana Upanga ni kubwaEbu tuonyeshe hizo 32 towers let alone zenye ziko 20 floors. I watched that video from start to finish na buildings zenye alionyesha hata hazifiki kumi😂😂
Akina Rrondo watakwambia uenda kuangalia video ya Bertin. Lakini waambie wakuonyeshe picha za electric train uone.😂😂But mwambie akuonyeshe picha za BRT uone ukijaziwa pages Tatu na picha latest latest za BRT, lakini ikifika kwa 20 floors building watakuambia hao hawapendi kupiga mapicha🤣🤣😂😂
Hazifiki 10 na pia most ziko under 20 floors. Meanwhile Westlands pekee ina 48 towers over floors under construction.Kama hazifiki 10 it's okay. Hawezi kuonesha zote maana Upanga ni kubwa
jamaaa alienda mpaka kwa m7 ila wap
View: https://www.tiktok.com/@thepresidencyug/video/7640931175938411784
OkayHazifiki 10 na pia most ziko under 20 floors. Meanwhile Westlands pekee ina 48 towers over floors under construction.
Si ati hampendi kupiga mapicha, that answer only comes out when it comes to showing buildings under construction. Mbona jana vile Nicxie aliharibu kuongelea Jangwani bridge mlimrushia mapicha hapa karibu Jamaa wetu apoteze ufahamu?Ni kweli, Watanzania hatupigi sana miji yetu picha kama Wakenya
Ni Bertin ndio anasaidia sana kuonesha maeneo kadhaa ya Tanzania na watu wanatoa picha huko. Bertin bado kuna sehemu nyingi sana Tanzania hajafika na siku akienda utaona watu wataanza kuzipost humu, ni kwa sababu picha recent za maeneo mengi Tanzania kuzipata ni ngumu
Kwan hawakubadilisha? VIP section yote haikubadilishwa siti? 😂 😂 😂 BTW seems unapokea spanks vizuri mpaka umeweka ignore list, huu mwanzo tu mpaka mlie