Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South Sudan anataka kutumia Dar port, Ethiopia walikuja wanataka kutumia Dar port just imagine.

Check hapa uone

Ethiopia walikuja kujenga electric train inaoenda straight mpaka djbouti port and that was the end of LAPSET
 
Jana kulikuwa na Mashindano ya Miss Grand Tanzania. Walitakiwa washindi 9 kwenda kuiwakilisha Tanzania kimataifa. Na mwingine wa 10 Miss Elite hayakufanyika mwaka jana, anaenda kuiwakilisha Tanzania mwaka huu.

Hii hapa Orodha na nitakupatia details za kila mmoja:
👑Miss Grand Tanzania 2026 @jihandimack
👑Miss Cosmo Tanzania 2026 @prisca__lyimo
👑Miss Earth Tanzania 2026 @celine_edson06
👑Miss International Tanzania 2026 @agape_anthonny
👑Miss Intercontinental Tanzania 2026 @janethanselme
👑Miss Global Tanzania 2026 @rossie__.uisso
👑Miss Africa Golden Tanzania 2026 @_zulfa.yazid
👑Miss Elite Tanzania 2026 @official_sharon_01
👑Miss Africa Tourism International 2026 @its_namala
👑Miss Africa International Tanzania 2026 @_eve_godwin___

Top 3 kila mmoja alipata gari mpya Toyota IST.

Natamani katika hili wakenya watusogezee warembo wao
 
Nairobi to Machakos is 63km, how is that long distance?😂😂
mai lod i wanda
1786272475179.png

1786272574007.png
 
Let's assume they built that 60k bpd which in reality will never happen, will it satisfy their consumption? Are they considering future consumptions as well? Ama hao wanataka Tu kujenga because there is a bigger one being built in Kenya?🤣🤣😂
Dangote hawezi jenga tena refinery lamu baada ya kuona hii habari 😭😭😭
 
Miss Grand Tanzania 2026 Jihan Dimack
Mama yake ni Mtu wa Mwanza baba yake ni Kutoka Lebanon
Alizaliwa Mwanza
Yeye ndiye Mshindi No.1
Alikuwa Miss Grand Mwanza
1786274020991.png


1786274078372.png
 
Juu inaonekana hamjui what MoU is😂😂🤣.

M ashangilia as contract has been signed kumbe it's just an MoU. MoU is a very useless agreement cause it can be terminated anytime without any consequences to the terminating party😂😂🤣.

In short MoU is just a plan which can remain a plan forever without ever actualising 😂😂
Du, mfwa maji anataka lake lifanikiwe hapa kwa Tanzania mmelamba dume🤣🤣
 
Back
Top Bottom