REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,894
Hahaha only if I never lived in KenyaKwa kibanda this is ksh 50....then a kilo of rice is 80 in kenya
Mkuu ndio maana nikamuambia akawadanganye wadogo zake au kule nairaland walizoea kuwachota akili wanaija lakini sio Tanzanians.Usitufanye wajinga sisi
View attachment 680432
Cheapest price of rice(Mchele) is ks160 ambayo ni sawa na Tsh 3000
Hivi mnunuzi anaweza kumdanganya muuzaji bei aliyomuuzia? Hahaha yaani mimi nikuuzie kitu kwa bei yangu alafu nizunguke uani tukutane barabarani uniambia hii kitu nimenunua 1000 wakati mimi nilikuuzia 3000? Hahaha jobless mindset is do funny.