kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,212
- 5,289
Nimefika na nimeona video za Upanga.You sound stupid.. kwani we ushawahi kufika Upanga .? Au hata kuona kwenye videos.? 😂😂😂
Kama huko ndio mnaanza kujenga maduka chini ya tall residential buildings, now you have to know that Upanga yote ipo hivyo na ni tangu kitambo huwa wanajenga hivyo. Hiyo ni kawaida kwa Bongo even in masaki wanajenga hivyo kwasasa, majengo yote marefu ya makazi Victoria, Makumbusho n.k.
Kama unaona ni kipya basi mmechelewa manzee
Hio enda ukacompare na Roysambu/Mirema.