Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mifala kina Teargass bado inasubiria dangote 🤣 🤣
View attachment 3644518
Pole kwa hasira, part of that money will be used to start construction of the Lamu refinery 😂🤣😂👇👇

1000359692.jpg
 
Miradi tuyotarajia kujenga Bongo na ambayo ipo under construction ni almost $100 billion Projects.
 
Yaani kwa kifupi aliko Dangote kajitia kidole cha matako kuja kuwekeza karibu na sisi. 😂😂😂😂😂

Imagine itambidi anunue na kusafirisha mafuta ghafi kutoka sijui wapi huko atakapoyapata then asafishie Kenya, halafu ayauze South Sudan (soko lake la karibu) tena atayauza kwa kutumia kuyasafirisha kwa meli 😂😂😂 imagine the cost of doing the whole process.

Halafu atakutana nasisi ambae ndio competitors wake, mafuta ghafi tunayo hapa hapa nchini, viwanda vya kusafishia tunavyo, mabomba kwaajili ya kusairisha mafuta nchi zingine tunayo eg, TAZAMA na hiyo ya UG tutakayojenga + kusafirisha kwa meli nchi zingine.

Kwakifu Dangote kapanda mtumbwi wa vibwengo. 😂😂😂😂
Hawezi kuwauzia South Sudan sababu Uganda anajenga pipeline ya refined petroleum from Tanga, Sudan watachukulia refined petroleum from Uganda
 
Tanzania is like that village girl that gets banged by every guy just coz they tell her she’s beautiful. Just a useful idiot..🤣🤣🤣🤣
Utamaliza kejeli lakini dunia inajua who’s a true Giant of this region.. case ya EACOP iliishia aje.? What’s happening now is the same scenario. 😂😂😂

Kilio mtalia kikubwa kuliko cha mtoto mchanga.
 
Kwa hii trend ya sasa there’s high chances Dangote is going to quit whatever he planned to do in Kundurendan republic. 😂😂😂😂
ongeza apo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 all choke points officially closed
1786035049675.png
 
Utamaliza kejeli lakini dunia inajua who’s a true Giant of this region.. case ya EACOP iliishia aje.? What’s happening now is the same scenario. 😂😂😂

Kilio mtalia kikubwa kuliko cha mtoto mchanga.
reminds me of "kilio cha mbwa koko" nmemwambia amove on bado analia
 
Back
Top Bottom