Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,907
- 34,660
Watanzania ebu mtuambie penye Tanga refinery imetajwa hapaπ€£π€£πππ
View: https://x.com/i/status/2085393251914146252
View: https://x.com/i/status/2085393251914146252
πππ€£πππ€£π€£Mwenye anajenga refinery alishawaambia penye atatoa crude oil, lakini mwenye bado analishwa na mzazi juu Hana uwezo wakujilisha bado anaulizia penye tajiri atatoa mafuta. Majaabuπ€£π€£π
ivo ivo ndo tunataka ili ikishaanza tu ujenzi mlie zaidi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wacha watulizwe kutoka kwa aibu ya Dangote kuwakataa. π π π Kazi safi by CCM.
na tunataka muendeleee ivo ivo kua active so that you can cry in publicKwa propaganda nimewakubali we need to add them Ruto as the chairman π€£π€£π
move on, rhe strait of hormuz is closed and wars wont end, EACOP ndo kama ivo, Dangote raised money last few weeks kaenda kupanua kiwanda chake, mifala imebaki inaongelea dangote refineryWanataka kuwrite the narrative with their 15% shares. π π
Hizi ni kneejerk reactions za CCM tu. π π π Uganda na Rwanda who own shares kwa KPC wanajua where their money. Hizi MOU's ni makaratasi tu za kuficha aibu ya Dangote.
View: https://x.com/Hamadbakari2/status/2085398343778283684?s=20
Pole kwa hasira, part of that money will be used to start construction of the Lamu refinery ππ€£πππ
Hawezi kuwauzia South Sudan sababu Uganda anajenga pipeline ya refined petroleum from Tanga, Sudan watachukulia refined petroleum from UgandaYaani kwa kifupi aliko Dangote kajitia kidole cha matako kuja kuwekeza karibu na sisi. πππππ
Imagine itambidi anunue na kusafirisha mafuta ghafi kutoka sijui wapi huko atakapoyapata then asafishie Kenya, halafu ayauze South Sudan (soko lake la karibu) tena atayauza kwa kutumia kuyasafirisha kwa meli πππ imagine the cost of doing the whole process.
Halafu atakutana nasisi ambae ndio competitors wake, mafuta ghafi tunayo hapa hapa nchini, viwanda vya kusafishia tunavyo, mabomba kwaajili ya kusairisha mafuta nchi zingine tunayo eg, TAZAMA na hiyo ya UG tutakayojenga + kusafirisha kwa meli nchi zingine.
Kwakifu Dangote kapanda mtumbwi wa vibwengo. ππππ
move on the dangote refinery is officially dead, no customers and no source of crude, MOVE ONPole kwa hasira, part of that money will be used to start construction of the Lamu refinery ππ€£πππ
View attachment 3644522
Hakuna refinery inajengwa Tanga ππHawezi kuwauzia South Sudan sababu Uganda anajenga pipeline ya refined petroleum from Tanga, Sudan watachukulia refined petroleum from Uganda
Kwahiyo Dangote atamuuzia nani sasa .? πππ Aahh..!! Dangote kadandia mtumbwi wa vibwengo.Hawezi kuwauzia South Sudan sababu Uganda anajenga pipeline ya refined petroleum from Tanga, Sudan watachukulia refined petroleum from Uganda
Says a hopeless fellow housed by his parents.move on the dangote refinery is officially dead, no customers and no source of crude, MOVE ON
Mtanunua mafuta ya Dangote Mpende msipende πππ€£Kwahiyo Dangote atamuuzia nani sasa .? πππ Aahh..!! Dangote kadandia mtumbwi wa vibwengo.
utamove on kwa lazima soon, we sio wa kwanza kuliaSays a hopeless fellow housed by his parents.
sawa madameMtanunua mafuta ya Dangote Mpende msipende πππ€£