free Tuition pale otiende kiberaInasemekana umefungua tuition ati unafundisha MoU ..? 😂😂😂😂😂😂
Juu inaonekana hamjui what MoU is😂😂🤣.Inasemekana umefungua tuition ati unafundisha MoU ..? 😂😂😂😂😂😂
ongea bila kulia sasaJuu inaonekana hamjui what MoU is😂😂🤣.
M ashangilia as contract has been signed kumbe it's just an MoU. MoU is a very useless agreement cause it can be terminated anytime without any consequences to the terminating party😂😂🤣.
In short MoU is just a plan which can remain a plan forever without ever actualising 😂😂
MoU is not a contract.Nakuja tuition nijifunze kaka, naskia umefungua kituo huko unafundisha MoU 😂😂😂😂
tatio lako unaongelea kwa kulia 😂MoU is not a contract.
That's why mnadanganywa ati mtapeleka mafuta Uganda wakati Uganda is also building a refinery bigger than their current consumption. So I'm wondering where will Uganda take those petroleum mnaoanga kuwauzia if zenye warasafisha hawawezimaliza?🤣🤣😂
Kuongezea, Tanga port will be responsible for both refined and unrefined products 😂😂😂😂, meanwhile LAMU doesnt have a single toothpick toship
View: https://www.instagram.com/p/DbssyN0DIon/
m7 na refinery ya tanga wap wap?Museveni anasemaje kuhusu hiyo refinery ya Tanga? Why is he not mentioning anywhere?🤣🤣😂🤣
SAMIA 2 RUTO 0Hii habari ya Tanga imemuuma sana Teargass pole kaka, zoea Tanzania 🇹🇿. Sisi kuwapiga gap kubwa nyinyi ilikua ni suala la muda tu, endeleeni kuwekeza apartments Nairobi, mkija mkistuka sisi tameshikilia uchumi wote wa Africa. Sisi ni China ya EA bro.