Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,050
- 5,425
Glad sahii wameruhusu masaki inajengwa majengo marefu, ingawa ilichelewa ila si haba. Hatuko pabaya.**** visheria vingi vya kijinga hii nchi.
Kama ni ikulu, why wasihamishe ikulu katikati ya mji?