Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If this is where your rich live, mko ata chini ya LDC. 😂😂
There is nothing beautiful about this place. Don't let your patriotism blind you.

Just a bunch of big ugly coneheads with no infrastructure leading to their gates. Surrounded by big ugly walls.
Kenya hakuna mtu ako na pesa hukanyanga vumbi.
Nani kakuambia Goba ni Rich people ndio wanakaa
Goba ni mchanganyiko wa Middle Class na Upper class. Na hii neighborhood since watu waanze kujenga nyumba nzuri haina hata 10 years old and it's growing so fast
 
Nice video but it’s outdated. Some of those empty spaces I noticed in Runda are today occupied by mansions and they are still expanding the estate with the New Runda ..
 
Shida nchi kuongozwa na kiongozi muongo muongoo bhas na nchi nzima imekuwa ya uongo uongo tuu..

CAF bado hawaja amua wapi wataweka IBC.. International Broadcast Centre. So chill... Na kwanza mwenye TV rights ukanda huu wa Afrika Mashariki ni AZAM Media. Kunyaland mko kwenye free to air broadcast kupitia KBC, same to Uganda with UBC na Tanzania with TBC.

So, Azam ndio anauwezekano mkubwa wa kuleta IBC Dar kwa sababu tayari ana uwezo na vifaa vya kutosha. Hata Rais wa CAF alishafanya tour Azam Media kukagua uwekezaji ulioko pale.
Kunyaland kuwa na IBC watatumia facility ipi na yenye vifaa gani kuipita Azam?
The Liker amejam. Wah! 😂😂😂😂
 
Hii essay yote kutetea your ugly architecture and ugly vumbi neighborhoods.
Unadhani Nairobi haina hizo. Tofauti ni ati ata uncontrolled neighborhoods zetu ziko na lami, na ziko na urban planning.
Mtu anajenga chenye anataka lakini amenities ziko.

LDC kaa lane yako.


View: https://www.youtube.com/watch?v=ZO4oRr6QROY

Sasa hii Karen iko na lami.? 😂😂😂 au unadhani hatuijui.? Karen ni mtaa wa kawaida just like Goba or elsewhere in Dar.
 
Back
Top Bottom