Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wengine walinunua Gold Mapema, meanwhile slum members bought depts

View: https://x.com/WatcherGuru/status/2082938677521432979?s=20

First learn how to spell .. your Grade 7level education is showing. Meanwhile I am still asking you same question. Whatchu doing to solve the beggar crisis..
IMG_9342.jpeg
 
Shida nchi kuongozwa na kiongozi muongo muongoo bhas na nchi nzima imekuwa ya uongo uongo tuu..

CAF bado hawaja amua wapi wataweka IBC.. International Broadcast Centre. So chill... Na kwanza mwenye TV rights ukanda huu wa Afrika Mashariki ni AZAM Media. Kunyaland mko kwenye free to air broadcast kupitia KBC, same to Uganda with UBC na Tanzania with TBC.

So, Azam ndio anauwezekano mkubwa wa kuleta IBC Dar kwa sababu tayari ana uwezo na vifaa vya kutosha. Hata Rais wa CAF alishafanya tour Azam Media kukagua uwekezaji ulioko pale.
Kunyaland kuwa na IBC watatumia facility ipi na yenye vifaa gani kuipita Azam?
Hii ndio tatizo pale mtu anajifanya mjuaji wakati hakuna anachojua. Juzi tulikushauri urudi kwenye kobofya "likes" coz that's what you to best in this thread.

Let me enlighten you a bit. What you are talking about and what I posted are two different things. What I am talking about here is broadcast coordination. This involves broadcast and ICT infrastructure. It entails redundancy planning which involves landing multiple high-speed communication cables to ensure uninterrupted feeds.

At the moment, only Talanta stadium in Nairobi offers that possiblity among all the host venues. That's why Kenya has been designated as the anchor nation for Pamoja 2027 broadcast operations.
 
Hakuna vifaa vya kutosha Wala technical expertise ya kuwa na IBC hapo kunyaland.

Azam ni technical partner wa CAF kwenye pamoja AFCON 2027 na anayo broadcast right.

So IBC itakuwa Tabata.

View attachment 3640717
It doesn't matter whether ESPN or CNN themselves descend from America.
Broadcast production will be done in Kenya.

Ukitaka kuvunja redio na television, hio ni haki yako. 😂😂
Hakuna official anakuja Arusha kulala kichaka.
 
The guy is confusing broadcast production and coordination to streaming. What he doesn't know is that the things Azam will be streaming will have to be produced and coordinated at a central place somewhere
 
Hii ndio tatizo pale mtu anajifanya mjuaji wakati hakuna anachojua. Juzi tulikushauri urudi kwenye kobofya "likes" coz that's what you to best in this thread.

Let me enlighten you a bit. What you are talking about and what I posted are two different things. What I am talking about here is broadcast coordination. This involves broadcast and ICT infrastructure. It entails redundancy planning which involves landing multiple high-speed communication cables to ensure uninterrupted feeds.

At the moment, only Talanta stadium in Nairobi offers that possiblity among all the host venues. That's why Kenya has been designated as the anchor nation for Pamoja 2027 broadcast operations.

Wewe ni fala tu.

Hebu weka hizo infrastructure hapa za talakaa sijui .. tuzione.

Unajua kuwa na IBC inahitajika vitu gani?
 
The guy is confusing broadcast production and coordination to streaming. What he doesn't know is that the things Azam will be streaming will have to be produced and coordinated at a central place somewher
😂😂 Samehea yeye. He's a mere welder.
All broadcasters from all over Africa will receive a single feed.

He should watch this one from the world cup ajiulize whether hio kichaka yao inaweza handle.

View: https://www.youtube.com/watch?v=LhnH0juUaGw
 
It doesn't matter whether ESPN or CNN themselves descend from America.
Broadcast production will be done in Kenya.

Ukitaka kuvunja redio na television, hio ni haki yako. 😂😂
Hakuna official anakuja Arusha kulala kichaka.

Mko na ufala mwingi sana asee.

So Azam anavyo broadcast ligi yenu Sasa hivi Centre ya kurushia matangazo kaijenga wapi hapo kunyaland? Au kule Rwanda?
Kila kitu kinafanyika Dar Tabata Tanzania.
 
Back
Top Bottom