kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,246
- 5,375
Just like during CHAN when Kenya was the logistics hub where all officials were domiciled, the story isn't going to be any different during AFCON next year.
Nairobi has officially been chosen as the base from where all matches in Kenya, Tanzania and Uganda will get processed before being aired to the rest of the world.
Yani mechi inafanyika Arusha kule msituni au Hoima Uganda lakini kabla ya hizo livestreams kupeperushwa duniani, zinapitia Nairobi kwanza ndio dunia izione.
Talk of being big in everything 😂😂
View: https://youtu.be/c16mi3dlhwQ?si=n3Ly_D_q1KQhAxGW
There is ZERO possibility broadcast center itapelekwa kichaka cha Arusha.Shida nchi kuongozwa na kiongozi muongo muongoo bhas na nchi nzima imekuwa ya uongo uongo tuu..
CAF bado hawaja amua wapi wataweka IBC.. International Broadcast Centre. So chill... Na kwanza mwenye TV rights ukanda huu wa Afrika Mashariki ni AZAM Media. Kunyaland mko kwenye free to air broadcast kupitia KBC, same to Uganda with UBC na Tanzania with TBC.
So, Azam ndio anauwezekano mkubwa wa kuleta IBC Dar kwa sababu tayari ana uwezo na vifaa vya kutosha. Hata Rais wa CAF alishafanya tour Azam Media kukagua uwekezaji ulioko pale.
Kunyaland kuwa na IBC watatumia facility ipi na yenye vifaa gani kuipita Azam?