Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wako na chura na mimea sisi tuna wanyama wakumbwa …🤣🤣
Udzungwa Red Colobus
Wanapatikana Tanzania pekee. I can go on with this list like forever
images (4).webp
 
Nenda kadanye wanyamwezi wenzako
View attachment 3640580
Huna akili wewe. Unaelewa maana ya species. Umeona wapi nikiandika Red-Billed Hornbill? Hiyo Tanzanian uliyoitoa ni part jina lao, fala ww
Ni kama Grevy's Zebra sio sawa na other ordinary zebras
Hawa hata jina lao la Kisayansi ni "Tockus ruahae", umejiuliza hiyo Ruahae imetoka wapi? Wanapatikana Ruaha National Park pekee ambayo ipo Tanzania. Sio same species na hizo mlizo nazo Kenya au maeneo mengine ya Tz
Endea school fees au wakufundishe upya Genus na Species uwe unajua kutofautisha
Screenshot_20260731-102954.png
 
Nenda kadanye wanyamwezi wenzako
View attachment 3640583
"Introduced population" in Kenya. Unaelewa hizi screenshots unazopost kweli?
Are they Native to Kenya? Huoni post yangu imeandika Native to Tanzania and even your screenshot supports that?
Kwani leo hii ukipeleka Tigers USA, utasema they are native to USA. Vipi hippos wamejaa huko USA na Asian Countries utasema they are native to USA? Aren't they only found in Africa naturally?
Hao ndege kila sehemu unayowaona jua wametoka Tanzania
 
Nenda kadanye wanyamwezi wenzako
View attachment 3640588
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa kufikiri, huelewi kitu
Kuna different species ya Three Horned Chameleons inaitwa "Usambara three horned chameleons" idiot, This species of three horned chameleons ipo only in Tanzania
Kama huelewi tumia their scientific names kupata data zao "Trioceros deremensis" uone kama wapo Kenya
Enda uuze uji, mada za high IQ huwezi kushiriki. Na umri huo bado hujui kutofautisha Genus & Species. Nyinyi ndio mlikuwa mnalala darasani wakati mwalimu wa Biology anafundisha. Bure kabisa
Screenshot_20260731-103524.png
 
Just like during CHAN when Kenya was the logistics hub where all officials were domiciled, the story isn't going to be any different during AFCON next year.

Nairobi has officially been chosen as the base from where all matches in Kenya, Tanzania and Uganda will get processed before being aired to the rest of the world.

Yani mechi inafanyika Arusha kule msituni au Hoima Uganda lakini kabla ya hizo livestreams kupeperushwa duniani, zinapitia Nairobi kwanza ndio dunia izione.

Talk of being big in everything 😂😂

View: https://youtu.be/c16mi3dlhwQ?si=n3Ly_D_q1KQhAxGW
 
Back
Top Bottom