Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili suala kiukweli linaniuma sana, hizo kingo za barabara zilivyo nzuri halafu ******* wanazikanyaga kama wanavyotaka, kiukweli mimi ningeshauri wawakamate malofa wote wanaofanya huu utovu wa nidhamu na kuwatoza faini na kuzijenga tena hizo kingo..
kwa mfano pale airport wamepanda majani vizuri tu na yameota pakawa if azuri mno, ajabu kuna mafala wanaovuka kwa miguu wanakanyaga zile bustani bhana. Sasahivi hapatamaniki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…