Another problemUsidanganywe na Kibera.
One acre of slum residents wanatoshea 1 or 2 apartment blocks. That will be solved in 5 -10 years.
And many of those slums are on public land. So the slumlords build temporary mabati houses knowing they'll be demolished any time.
Nobody builds a cheap private home in Nairobi. Land prices do not allow.
Yes, people build ugly houses all the time, but they are ugly expensive houses.
"Nyumba mbaya" utapata slums ama huko rural areas.
We have different problems, na unasahau the results speak for themselves?Sasa si ndo maana mnazidi kuwa na burden sababu mnaifanya jamii yenu kutokuwa productive bali dependants wa serikali.
Si unaona kabisa mpaka welders kwenu wanatafuta kazi wakati hiyo pesa mngewakopesha wakanunua materials za kufanyia kazi na huko mbele ungeleta multiplier return / effects kwenye uchumi
Majority of your people wanaishi kwenye mabandaWe have different problems, na unasahau the results speak for themselves?
Kibera utaitafuta miaka saba hivi uikose.
Nyinyi endeleeni kujenga cone houses, sisi tutajengea slumdwellers their own highrise communities.
Wakenya wanaojiweza wataendelea kujisort kivyao.
All types of constructions are booming in Kenya.
Single houses ndio zinajengwa mingi kuliko ata apartments, but they're private and we don't post here.
Meza pangaSasa si ndo maana mnazidi kuwa na burden sababu mnaifanya jamii yenu kutokuwa productive bali dependants wa serikali.
Si unaona kabisa mpaka welders kwenu wanatafuta kazi wakati hiyo pesa mngewakopesha wakanunua materials za kufanyia kazi na huko mbele ungeleta multiplier return / effects kwenye uchumi
Haya ujenge maelfu ya nyumba slums hazitapotea bila kupunguza watu kwenda .iji mingine kama wajir and the like ambako population yake ni ndogo.We have different problems, na unasahau the results speak for themselves?
Kibera utaitafuta miaka saba hivi uikose.
Nyinyi endeleeni kujenga cone houses, sisi tutajengea slumdwellers their own highrise communities.
Wakenya wanaojiweza wataendelea kujisort kivyao.
All types of constructions are booming in Kenya.
Single houses ndio zinajengwa mingi kuliko ata apartments, but they're private and we don't post here.
Halafu kuna mtu anajisifia kujenga nyumba badala kwenda kujenga bwawa la maji au uchimbaji visima kama ilivyo tz ( ruwasa) mji gani sasa hivi tz unashida ya maji kama yapo basi kuna matenki ya ruwasa kwa ajili ya kutoka jahaziA post from 1 week ago
This is the situation in Nakinomet Village, Turkana North, Kenya. Families are so affected by hunger that some are surviving by eating Prosopis (Mathenge). No one should have to endure this. We appeal to the government, humanitarian organizations, and well-wishers to provide urgent food assistance and long-term support for these communities
End of Quote
View attachment 3639420
Example zako ni za pastrolist regions?Haya ujenge maelfu ya nyumba slums hazitapotea bila kupunguza watu kwenda .iji mingine kama wajir and the like ambako population yake ni ndogo.
Utajenga nyumba 100,000 ila kwa kipindi zinaisha watahamia watu 500,000 Nairobi na na miji mingine , watazaliwa watoto 2mil zaid ya nyumba ulizojenga .
Solution ilikuwa hiyo hela kujanga projects ambazo zingewatoa watu mijini kwenda occupy miji ambayo haina watu kama wajir Mandela and the like .
Shida .najenga vitu ili muonekane halafu at the end of day mnabaki maskini.
Tanzania Ina projects ya irrigation schemes zaid 20 karibia nchi nzima ,kuna usambazaji maji nchi nzima , sasa hivi watu hata kukimbilia dar na mwanza imekuwa nadra hence maendeleo yanaendelea kote
Imagine eneo kama hili halina maji ila kuna mtu anajisifia affordable housing.Wajir Town, Northern Kenya. Such a shame for a place like this to exist in 2026
View attachment 3639421
Shinyanga, Dodoma , singida karatu ni mostly pastoralist society ila hawana shida kubwa ya maji sababu kuna mabwawa yamejengwa , imewasababisha kuacha tabia ya kuhamahama.Example zako ni za pastrolist regions?
Hao bado ni nomads. It's their culture and lifestyle, mpaka leo wengi hawana permanent home.
Lakini bado affordable housing inaendela kwa the towns in that region kwa wale wameamua kusettle down.
Hakuna town Kenya haina affordable housing project.
View: https://x.com/abuga_makori/status/2059106508244152752
Wajir Town, Northern Kenya. Such a shame for a place like this to exist in 2026
View attachment 3639421
Nyumba za mabati mwanzo mwisho🤣🤣🤣🤣🤣
Huwezi amini Wajir town ina watu 180K, watu wengi kuliko Iringa, Bukoba, Mtwara na miji mingi tu Tanzania ila ndio pako hivyo 😂😂Imagine eneo kama hili halina maji ila kuna mtu anajisifia affordable housing.
Hii mji hata buhigwe kasulu ya kigoma imepazidi🤣🤣🤣 . Halafu ndo makao makuu ya county
Typical Kenyan mindset. This explains a lot why places that look like hell still exist in Kenya.😂😂 What's wrong with it?
It looks like Darslum, but only better planned because I can see grids and road provisions.
Hiyo ndio Kenyan style ya mwananchi wa kawaida kujenga nyumba 😂😂Nyumba za mabati mwanzo mwisho🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa tunafananishe na buhigwe tu.Huwezi amini Wajir town ina watu 180K, watu wengi kuliko Iringa, Bukoba, Mtwara na miji mingi tu Tanzania ila ndio pako hivyo 😂😂