concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Duuh eti welder anatafuta kazi jamani, huyu si mtaji wake ni grander na welding machine, inaanza design machine kadha wa kadha pamoja na tools mbalimbali.Superior education!?
Edukeshen hii-hii inayo poromosha maghorofa daily?
Education hii-hii that leads to importation mpaka ya onions?๐ฎ
Superior education
View attachment 3639213
View attachment 3639214
Nowhere in Tanzania utakuta ujinga huu. Only in Kenya, South Africa; where a whiteman dupes these perennial losers kuwa elimu yao ni bora๐ฎ
BTW chips za kenya ni mbaya kichz, hakuna wapishi, i remember at one time nliekua nae ikabidi aniagizie something else mpaka nmesahau majina yake
Bro.............believe your own reality sawa? Thank you.Ebu I screenshot Ile part niliyosema anaweza kuuza 10 bags? For what I know nilikuambia kuna baadhi wanaweza uza mpaka bags 10 sawa na 2000 sio wote na ni wale wako kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu kama universities , markets na maeneo kama kariaokoo mbagala sokoni.
Ila street vendor mtaani sehemu isiyo na movement kubwa wastani gunia moja na ndo hesabu inayopigwa ili tufike kwenye calculation za total monthly profit ya 62,000ksh huyu 10 bags sijataka kumuweka sababu sio minimum au the majority. Hapa tunaongelea majority ambaye hesabu yake inafikia 62,000 ksh per month acha kudiverty mambo
Wewe ni wa kupuuza tu...............sina hiyo time bradhee. ๐ฎ๐ฎ๐ฎTheir faces epitomize a poor nutritional base. Sasa hata ukipata trillion ukubwani huwezi badilika.
Just look Ruto ama Gachagua๐ฎ Uhuru kazaliwa kwenye pesa yuko tofauti na wengine.
Nawaambiaga watu kwenye upambanaji halali hakuna nchi inawafikia Watanzania ukanda huu.Duuh eti welder anatafuta kazi jamani, huyu si mtaji wake ni grander na welding machine, inaanza design machine kadha wa kadha pamoja na tools mbalimbali.
Duuh kuna colonial mentality kwa wenzetu mpaka huruma
This might be the worst news for mwaiofhawaii today ๐ , only 2 nations have extra USD benki kuu, apo ata SGR haijaanza kazi
View attachment 3639317
View attachment 3639319
View attachment 3639321
Haha huo ndo ukweli , tatizo hamtembei mnadanganywa kuwa mko juuu lakini uhalisia unawatupa.Bro.............believe your own reality sawa? Thank you.
Nawaambiaga watu kwenye upambanaji halali hakuna nchi inawafikia Watanzania ukanda huu.
Mtu tayari una ujuzi kama welder halafu bado unaomba serikali ikupe kazi!
View attachment 3639235
Huwa tunaenda kwa evidence , njia nzuri ya kuwa competent ni kukubali kujifunza .
Hapo nimekuwekea minimum plates mtu wa highway anaweza kuuza kwa siku na ni hesabu ya gunia moja tu na hapa nimekuongezea kuwa kuna wengine wanauza mpaka gunia 10 per day na hata zaidi.
Kuhusu kumenya na kukata viazi inabidi mjifunze sana, sasa hivi kuna mashine ambayo inaosha , inamenya na nyingine kukata kabisa viazi.
Happ umewekewa hesabu ya mtu mmoja mwenye maximum sales ya 150 plates , ambaye ana capacity ya kufikisha 62,000ksh per month hatujafika kwa yule 10 sacks per day
Na umeambiwa kabisa kuwa sales prices au totally daily sales itakuwa 300,000 tsh / 15,000 na profit ya not less than 50,000 tsh / 2500 ksh.
Unashangaa hao wachips vipi
View: https://vt.tiktok.com/ZS4NJt2Ax/
Nae hawez Jenga ghorofa au nae si street vendor
Uwe unaelewa nimekuambia kg moja Inaweza toa 2 plates ila kwenye hesabu yetu nimekuwekea kiwango Cha chini Cha 150 plates sababu kuna Kila mtu anakipimo chake ila hawez pima akakosa 150 plates . Mimi nimekuwekea minimum plates per sack sasa wewe Fanya hesabu zako.So 1kg ya viazi inatoa chips sahani mbili lakini sasa gunia ya 200 kg inatoa Sahani 150? What kind of maths is this?๐๐๐คฃ
Umetafuta picha za Kenya's worst houses ukapata hii.Yaan hiyo nyumba ya tz inajenga nyumba zenu kama hizo 10 .
View attachment 3638972View attachment 3638973View attachment 3638974View attachment 3638975View attachment 3638976View attachment 3638977View attachment 3638978View attachment 3638979View attachment 3638978
Ebu linganisha na hizi zenu sasa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mabati ni kwa ajili ya kuelekea sio kwa ajili ya ukuta, Tena mnatumia gauge 32 , yaan the lowest quality kujengea ukuta,
Unlike you mr. welder, wengine wetu tumejenga.Kwanza upewa simple BOQ ya hiyo nyumba halafu linganisha na mabati house ya kwenu .
Iron sheets 170*32,000= 5,440,000
Blocks 2500*1200=3,000,000/=
Aluminium windows 8*350,000= 2,800,000
Window grills 170,000*8=1,360,000.
Mbao za kuezekea
2*3= 150*4500=675,000
2*2= 80*3000
2*4=40*5000= 200,000
Nails 4' = 25kg*3500=87,5000
Sasa calculate hapo uupate total ,ujiulize ingekuwa Ukunduni tingetoa nyumba ngapi?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Halafu hapo ni Kijijin sasa , imagine nyinyi mnajenga mabati house Nairobi.
Tukusaidie tu jumla ni ksh 672,125 bila interior finishing , yaan bati liliotumika tu kwa nyumba za Tanzania zinajenga nyumba nzima ya ukundustan mpaka finishing ndani๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Tanzania tunajenga kwa pride A.K.A sifa
Sasa kView attachment 3639005View attachment 3639006
Sasa kama mnajenga na bado mnatumia vitu cheap kama madirisha haya si Bora tusijenge kabisa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Dizaini ya haya madirisha mwisho kuyaona ilikuwa 2002 Tena mashuleni
Meanwhile nyumba zenuUnlike you mr. welder, wengine wetu tumejenga.
Hizo cone houses mnajenga hazipiti Ksh1.5m za kenya.
Hio bei hapa tunaita hizo nyumba 'simba'. Nyumba ambayo kijana anaingia akitahiri, ambayo inajengwa kando ya main house.
LDC kaeni ligi yenu.
View attachment 3639330
It's called affordable for a reason.
Nyinyi mnajenga vitu cheap na mnalipisha wazungu $3500 a month.
No wonder your "luxury apartments" are empty 11 months of the year.
Mko na any regulated gated estates Bongolala ama ni kila mtu na design yake na ukuta wake.Watanzania wa kawaida wanazidi kujenga nyumba kwa kasi, tena wanajenga wao wenyewe. Hakuna anayesubiria project za affordable houses
View attachment 3639037View attachment 3639036View attachment 3639035View attachment 3639034View attachment 3639033View attachment 3639032View attachment 3639030View attachment 3639028View attachment 3639025View attachment 3639024View attachment 3639021
Hapo niliinua mikono. Sitaki kusumbuliwa kichwa mimi.๐๐So 1kg ya viazi inatoa chips sahani mbili lakini sasa gunia ya 200 kg inatoa Sahani 150? What kind of maths is this?๐๐๐คฃ
Hizi tunajengea wafanyi kazi ya nyumbani rural areas.Meanwhile nyumba zenu
View attachment 3639333
hapo Air Tanzania haijaruhusiwa kwenda EU!