Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,649
- 34,273
Hata kusoma pia hujui. Read the last highlighted statement. Ama maana ya higher academic standards ndio hujui?😂Yani umepost hii kwa kujiamini kabisa.? 😂😂😂 ningekua wewe nisinge post. Anyways I just want to let you know shele zinazofundisha mitaala ya Cambridge huku Bongo zipo nyingi tu.
I thought waTz wanakuja kusoma kenya kwaajili ya ubora wa mitaala ya kikenya kumbe ni mitaala ya Cambridge.? 😂😂😂