Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukabila umesababisha nchi yao kuwa na maendeleo ambayo ni so marginalized.

mfano karibia miradi yote mikubwa ya kuijenga nchi, ilielekezwa katika maeneo ambayo yapo dominated na wakikuyu(central kenya).mfano ni thika road highway.

u-marginalization uliosababishwa na ukabila ndio chanzo kikuu kilicho sababisha baadhi ya county kuwa nyuma sana kimaendeleo kiasi kwamba kamwe huwezi wasikia wakizitaja kwenye thread.

mfano ni
kakamega county
kilifi county
mandera county
garisa county
taita taveta county
kwale county
makueni county
west pokot county
baringo county
bungoma county
siaya county
busia county
turkana county.

hayo ni maeneo ambayo kiasili siyo sehemu ya wakikuyu.
You seem to have very good knowledge about kenya and its "affairs".While you are able to name almost half the counties in Kenya, I don't even know Tanzania iko na mikoa ngapi, let alone their names. You are taking a lot of your time and energy learning about Kenya and her people while you can't explain why your vountry is listed as an ldc. You could have used that same energy to pull your country out of Ldc instead.
 
What about Tanzania?
punguza hasira...
laiti kama hizo counties nilizotaja hapo juu zingekuwa na maendeleo yoyote ya maana, msingekaa kimya. lazima mngekuwa mnazizungumzia hapa kwa thread.

hata siku moja hatujawahi kuwasikia mkizitaja.kila siku mnaitaja nairobi, eldoret na nakuru(kikuyus and kalenjin dominated areas).

hizo ndio zile counties zilizojaa umasikini na ufukara usio na kifani.

kama vipi tuonyesheni miji ya hizo counties. tuonyesheni rasilimali zilizopo, tuonyesheni development opportunities zilizopo.

tuonyesheni availability of basic needs like food and social services like hospitals.
i'm waiting.
 
kenyans, apart from nairobi, nakuru, uasin gishu, kiambu, nyeri, nyandarua, kirinyaga,murang'a, and kiambu county where the kenyattas and a small group of powerful elite in kenya comes from,i challenge you to show us any complited or ongoing construction project in these places.

kakamega county
kilifi county
mandera county
garisa county
taita taveta county
kwale county
makueni county
west pokot county
baringo county
bungoma county
siaya county
busia county
turkana county.
And let me inform you because you appear ignorant.... With devolution every county have significant amounts of money that they can develope themselves..infact counties which appear more marginalized get more money from the share of national budget in what we call equalization funds..and then let's look at the biggest projects the government is carrying (that is Sgr and lapsset) show me apart from Mombasa and Nairobi where do these projects touch Nakuru, kiambu..........and the so counties you have mentioned
 
Let's show these nyangaus some few projects in kakamega county

ed5d4a6582d94ae87575ee74fb3ae2b6.jpg
8d07700de1c620897a2449f83f66dc27.jpg
51084a2bee36307b20a0b08d71b31544.jpg

ab112bcc9470a5bf4be1374ec60fb4ca.jpg
562857e82070474f0c262532dfa27151.jpg
75d37dad479a2ac76048ff8e9fb38e8a.jpg
f0f5d902673bef3f9cd224932ba89fb8.jpg
9d96291791f2aaf307537599f7b16437.jpg
e737fc1393b85e0acfcc3ead87f54026.jpg
1a76ea64e724d4182139d8d19c512b84.jpg
2570e57441a18c2e9533662237c9bb07.jpg
 
And let me inform you because you appear ignorant.

mjinga mkubwa wee, usilete porojo zako hapa...tuonyeshe project yoyote kubwa iliyowahi kufanyika katika hizo counties.

kubarini tu kuwa hako kanchi kenu kapo marginalized kutokana na ukabila.
 
Katika regions nilizozimulika leo kuanzia [HASHTAG]#Morogoro[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kigoma[/HASHTAG] [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] yote sio majiji (cities) ni mikoa ya kawaida lakini hakuna County hata moja kati ya hizo hapo juu zinaweza kucompate na one of them
Umetumia kigezo kipi?
 
Mazee nipo hapa Nairobi city center mathare valley sio kibera nipo mathare najufunza namna ya kuachana na LDC na how Kenya became MLDC Mazee
5752120610_5b867a0828_b.jpg
Huu ni mtaro wa mavi Franklin speaking sijui kama nitaweza kula ugali wangu na kisamvu baada ya kuona hivi
 
Wakenya mbona mmetulia hivyo?? Naendelea kushusha marungu hata mkinuna. 😳

Now to [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]

Manyara Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the town of Babati. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,425,131, which was lower than the pre-census projection of 1,497,555.[1]😛age 2 For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country.[1]😛age 4 It was also the 22nd most densely populated region with 32 people per square kilometre.
View attachment 678808 View attachment 678811 View attachment 678812 View attachment 678813 View attachment 678814 View attachment 678815 View attachment 678817 View attachment 678818 View attachment 678819 View attachment 678820 View attachment 678821 View attachment 678822 View attachment 678824 View attachment 678825 View attachment 678826 View attachment 678827
What's so interesting or unique about this region called manyara to even deserve a mention here? The above information revolves around population, polulation density, population growth rate...blahh blah blah. Let's be honest, how does the above information relate to development or uniqueness of a place to even mention it to the world? Things like population, population density, growth rate are very common statistics that even the smallest of villages have. Who lives in a town where the above statistics are not captured? Unless, of course, you come from planet Mars
 
Back
Top Bottom