REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,894
Duh hizi me ndio nazisikia leo kwa kweliukabila umesababisha nchi yao kuwa na maendeleo ambayo ni so marginalized.
mfano karibia miradi yote mikubwa ys kuijenga nchi, ilielekezwa katika maeneo ambayo yapo dominated na wakikuyu(central kenya).mfano ni thika road highway.
u-marginalization uliosababishwa na ukabila ndio chanzo kikuu kilicho sababisha baadhi ya county kuwa nyuma sana kimaendeleo kiasi kwamba kamwe huwezi wasikia wakizitaja kwenye thread.
mfano ni
kakamega county
kilifi county
mandera county
garisa county
taita taveta county
kwale county
makueni county
west pokot county
baringo county
bungoma county
siaya county
busia county
turkana county.
hayo ni maeneo ambayo kiasili siyo sehemu ya wakikuyu.
kakamega county
kilifi county
mandera county
garisa county
taita taveta county
kwale county
makueni county
west pokot county
baringo county
bungoma county
siaya county
busia county
Bila shaka hizi ndio hawa watu wanaishi
