Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #3 [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]
375px-Tanzania_Manyara_location_map.svg.png
images-13.jpg
b7e8278a967f5afaceb4d4a74e40232b.jpg
images-12.jpg
69541334.jpg
images-11.jpg
manyara-2-1024x768.jpg
images-10.jpg
images-9.jpg
005.jpg
twiga-campsite-and-lodge-3432-ae48c1281366119b7a9fac77d99ee1b734b36ef7.jpg
38a5408b14f49c795a979f933de142ec.jpg
images-8.jpg
unnamed.png
160731_1875_a9714.jpg
images-7.jpg
569f86446eda03b6584d4e55_lake-manyara-wildlife-lodge-1.jpg
images-6.jpg
images-5.jpg
manyara-wildlife-safari.jpg
 
Bado Tunaendelea na kuwafuta tongotongo wazee wa kibera waone dunia inaendaje kwa bei nafuu.

[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #3 [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#People[/HASHTAG] japo Tanzania kila mkoa una at least one national park lakini naona [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] utalii umeshamiri

375px-Tanzania_Manyara_location_map.svg.png
16123077_703744463130189_3510856930908176384_n.jpg.jpg
16465030_256457064778040_7100376973821607936_n.jpg.jpg
23967340_517669398602388_6538727605217001472_n.jpg.jpg
24332135_145172462800358_5882533933274365952_n.jpg.jpg
25005792_1693040504072239_5910715717669355520_n.jpg.jpg
25026148_505313069825046_5175997948927934464_n.jpg.jpg
25014795_1977490565839285_7499089190320078848_n.jpg.jpg
 
Bado Tunaendelea na kuwafuta tongotongo wazee wa kibera waone dunia inaendaje kwa bei nafuu.

[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #3 [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#People[/HASHTAG] japo Tanzania kila mkoa una at least one national park lakini naona [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] utalii umeshamiri

View attachment 678865 View attachment 678866 View attachment 678867 View attachment 678868 View attachment 678869 View attachment 678870 View attachment 678871 View attachment 678873
Hawa wajamaa ni Nairobi na mombasa kwisha Kazi hawana kingine cha kujidai regions nyingine ni Ufukara wa kutupwa.Na watu wa pwani wanavyokomaa kujitenga sijui hawa wandugu wataringa na nn tena
licha ya kelele zenyu kwenye media, kenya haina hostoria ya kuwachukulia hatua wanasiasa au viongozi wezi, wala rushwa au viongizi walioshindwa kusimamia majukumu yao kwa usahihi.mwisho wa siku inakuwa ni business as usual.

angalau tz, magufuli hana mda wa kuchekeana na viongozi wa namna hii,mara moja huwa anawaondoa kwenye nafasi zao na kuweka mtu mwingine.

tangu JPM aingie madarakani, viongozi wengi walioshikiria nafasi mbalimbali serikalini, wamepoteza ajira.
 
Hawa wajamaa ni Nairobi na mombasa kwisha Kazi hawana kingine cha kujidai regions nyingine ni Ufukara wa kutupwa.Na watu wa pwani wanavyokomaa kujitenga sijui hawa wandugu wataringa na nn tena
Wacha nikufunze kaka; mji wa mwanza ambao ni wa pili Tanzania ukiileta Kenya unashuka nyuma ya Nairobi, Mombasa, kisumu, eldoret na nakuru...mwanza(the 2nd largest city in Tanzania) will rank 6th in Kenya
 
Wengi wao hata Mombasa hawaichukulii kama Kenya ndio maana kucha kutwa Nairobi tu pembeni na hapo Kenya haina tofauti na Darfur au Mogadishu
 
Hata mimi naona kwa kujisifu tu kwa visivyokuwepo mbona ni namba 1
 
Na ispokua yale magorofa mawili hamna kitu dar inaishindia mombasa
 
Hata mimi naona kwa kujisifu tu kwa visivyokuwepo mbona ni namba 1
Naona we mgeni hapa pitia hizi battles uoshe macho; Nakuru vs mwanza, eldoret vs mwanza, kisumu vs mwanza na Mombasa vs dar alafu urudi hapa
 
[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #3 [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]

Bado Tunaendelea wajameni!.!  (hivi wakenya hii lugha ya "wajameni" mliitoa wapi sababu huwa nikisikia lazima nicheke)  😀😀😀😀😀
375px-Tanzania_Manyara_location_map.svg.png
25023776_1961355844085195_6870604727520854016_n.jpg.jpg
25024753_509922162723650_7225723983742631936_n.jpg.jpg
26341271_260138037853531_1057540984021188608_n.jpg.jpg
25011159_1971363953102363_8668041050473889792_n.jpg.jpg
26073110_132980040835907_2031440056933154816_n.jpg.jpg
26066213_1759455664076409_6595932016934387712_n.jpg.jpg
26151396_172502326855029_467818463629410304_n.jpg.jpg
26072825_180538962700070_1986335014765199360_n.jpg.jpg
18580400_1661988417162410_274954958657290240_n.jpg.jpg
 
a fool pretending to be showing us one building ,a low grade district hospital and a hill claiming that's a whole district but very careful to show the fourth world villages in their millions ..........one denominator though is that the town's are fucking sleepy and underdeveloped without even more than five storey buildings.Keumbu in kisii is even way better than some of these overrated Tanzanian towns
 
Here am talking about regions not towns, get that into your thick skull
 
Wacha nikufunze kaka; mji wa mwanza ambao ni wa pili Tanzania ukiileta Kenya unashuka nyuma ya Nairobi, Mombasa, kisumu, eldoret na nakuru...mwanza(the 2nd largest city in Tanzania) will rank 6th in Kenya
yani povu hili ni bila aibu😀😀😀😀😀
 
Wengi wao hata Mombasa hawaichukulii kama Kenya ndio maana kucha kutwa Nairobi tu pembeni na hapo Kenya haina tofauti na Darfur au Mogadishu
ukabila umesababisha nchi yao kuwa na maendeleo ambayo ni so marginalized.

mfano karibia miradi yote mikubwa ya kuijenga nchi, ilielekezwa katika maeneo ambayo yapo dominated na wakikuyu(central kenya).mfano ni thika road highway.

u-marginalization uliosababishwa na ukabila ndio chanzo kikuu kilicho sababisha baadhi ya county kuwa nyuma sana kimaendeleo kiasi kwamba kamwe huwezi wasikia wakizitaja kwenye thread.

mfano ni
kakamega county
kilifi county
mandera county
garisa county
taita taveta county
kwale county
makueni county
west pokot county
baringo county
bungoma county
siaya county
busia county
turkana county.

hayo ni maeneo ambayo kiasili siyo sehemu ya wakikuyu.
 
a fool pretending to be showing us one building ,a low grade district hospital and a hill claiming that's a whole district but very careful to show the fourth world villages in their millions ..........one denominator though is that the town's are fucking sleepy and underdeveloped without even more than five storey buildings.Keumbu in kisii is even way better than some of these overrated Tanzanian towns
punguza hasira...nini mbaya?.
 
Back
Top Bottom