concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
This is a lower middleclass apartment in Kenya my friend, we are talking about luxury apartments. 🤣 🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=znAab7lJiD8&t=1432s
Halafu kwanza tukusaidie middle class Kenya hana uwezo wa kumiliki jengo la usd 179,000 usd, sema matajiri wenu wakikenya ndo wanakimbilia kununua hayo
Sema tukuletea mabangaloo ya middle income earners tz Tena sio wa dar tunakuleteeni wa vijijin kama katoto huko🤣🤣🤣
Yaan middle income anakaa kwenye nyumba za kujamba na nani badala ya bungalow