kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,246
- 5,375
Yenu cummulative itafika 50m 2126. Ni kingereza hujaelewa watchman?Inaonekana hata kwenu kiingereza mmekariri. Ukiambiwa cumulative Ina maanisha Toka mmeanza huduma za sgr ndo mmefikisha hiyo 50mil tonnes.
Sasa unataka kuleta na comparison na tz ambao hizo 100,000 tonnes zilikuwa ni mizigo ya ndani bila kuwa na port link? Kumbuka mlikaaa mwaka mzima bila kutoa huduma ya mizigo mpaka mlipofanikiwa kuingiza reli bandarini , same kwa tz ambayo port link imeanza July ila kabla ya hapo ilikuwa ni loose cargo Toka kwa viwanda vya ndani.
🤣🤣🤣🤣 .
Same this tuje tufanye comparison ya December 2026 halafu tuje tu compare na nyinyi 2018 ambako kwa mwaka mzima mlisafirisha 900,000 mkiwa na link ya bandari🤣🤣🤣🤣
Kenya first year 3.5 tonnes
Bongolala first year 100,000 tonnes.
That's the only data you need kueelewa. Gari Moshi Kenya is doing X30 numbers on the slowest electric railway in the world. 🤣🤣