Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Demand and supply determines the price of rent of an area.
Kukiwa na less demand kama ilivyo Nairobi price ina- tend kuwa chini sana as compared to dar ambapo demand Iko juuu hence higher prices.
Kwa mfano huo tu ,inapata picha halisi ambapo kuna consumption kubwa kuliko .
Hiyo tendence ipo kwa all sectors , wakati Kenyan sgr haiwezi jaza premium class Tanzania inabidi kulinganisha emu mbili kwa ajili ya abiria wa kwenda Dodoma na Moro almost daily kumbuka emu moja ni 580 passenger ila premium class Kenya ni coaches mbili zenye total ya less than 60 passenger🤣🤣🤣🤣
You don't have any luxury apartments in Dar Vumbi.
What you call luxury there belongs to Ruaka here.
 
Ulipata Wapi hii habari? kwa kichwa yako?
View attachment 3638609

Meanwhile Bongolala SGR with 102,000 tonnes annually, 50 million wataiona 2126. 😂😂
Geza Ulole na concordile 101 hii ni aibu bin aibu.

LDC ata ipakwe mafuta na lipstick kudanganya wageni, kwa data bado itanyamba uLDC tu. 😂😂

And before you say "this is the first year" Kenya SGR did 3.5 million tonnes in its first year.

tx.JPG


tx1.JPG
 
Oversupply was there even a demand in the first place? zile afodabo tents mnajenga mliambiwa watu wa kibera wana shida ya housing ama hawana ela kabisa? alafu nani kakwambia kwamba kisa kuna majengo yanajengwa basi kuna demand?

We ni fala
Kila siku tunawaambia humu ndani kuwa hawana priorities kabisa; hawa nyangau they always place the cart ahead of the donkey in everything they do. What is needed first is to create employment and a conducive environment for business; then, as the number of employed people and businesses increases, the demand for housing and other consumer goods will increase organically.
 
You don't have any luxury apartments in Dar Vumbi.
What you call luxury there belongs to Ruaka here.

Imagine pamoja na kuwa na kutokuwa na luxury apartments kama unavyosema ila watu wako willing kulipa twice the amount ya zile luxury apartments za kule kundustans , hapo hatujawaletea spending ya walevi pale wavuvi camp ambayo bill moja watu wanalipa 32mil au 1.2mil na Kila siku panajaa🤣🤣🤣🤣
 
Meanwhile Bongolala SGR with 102,000 tonnes annually, 50 million wataiona 2126. 😂😂
Geza Ulole na concordile 101 hii ni aibu bin aibu.

LDC ata ipakwe mafuta na lipstick kudanganya wageni, kwa data bado itanyamba uLDC tu. 😂😂

And before you say "this is the first year" Kenya SGR did 3.5 million tonnes in its first year.

View attachment 3638655

View attachment 3638656

Inaonekana hata kwenu kiingereza mmekariri. Ukiambiwa cumulative Ina maanisha Toka mmeanza huduma za sgr ndo mmefikisha hiyo 50mil tonnes.
Sasa unataka kuleta na comparison na tz ambao hizo 100,000 tonnes zilikuwa ni mizigo ya ndani bila kuwa na port link? Kumbuka mlikaaa mwaka mzima bila kutoa huduma ya mizigo mpaka mlipofanikiwa kuingiza reli bandarini , same kwa tz ambayo port link imeanza July ila kabla ya hapo ilikuwa ni loose cargo Toka kwa viwanda vya ndani.
🤣🤣🤣🤣 .
Same this tuje tufanye comparison ya December 2026 halafu tuje tu compare na nyinyi 2018 ambako kwa mwaka mzima mlisafirisha 900,000 mkiwa na link ya bandari🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom