Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣
1000201239.jpg
 
you are way behind kama ule ndo impressive 😂 😂 😂 Btw you should check your single mothers kule moroco washachezea mbili, in short wamepigwa mbele nyuma
Wewe heri unyamaze tu. Mlishashindwa kupenya ngome ya Alshabaab 🤣🤣
 
in today's digital economy a bank physical presence is irrelevant! Schocked to see Mbeya's GDP is twice Kisumu's!
Juzi mlileta data that says Kisumu has fewer banks than Mbeya na mkasherehekea the whole day. Leo mmeumbuliwa then suddenly the presence of a physical bank is now irrelevant. Minyamwezi mtaacha double standards lini?
 
Kitu ninachojiuliza Nairobi hii GDP kubwa huwa inatumika wapi. Maana wananchi wenu wana maisha magumu sana 😂😂
Can you quantify "maisha magumu" in the case of Nairobi and do the same in the case of Dar
 
Sisi tunaongelea muonekano wa mji wewe unatuletea show ya magari which can take place even in the middle of the Serengeti!
Kitu kuhusu Tanzania, sisi maendeleo yako distributed everywhere kuanzia East, West, Central, North, North East, North West, South, South East, South West etc

Tofauti na Kenya ambayo ukichora straight horizontal line katikati na kusplit Kenya into two, utagundua all the good stuff zinapatikana in the lower half. The upper half imejaa maeneo masikini na mabaya sana kama Wajir, Mandera, Turkana nk. Mko na maeneo mabaya ambayo yanafanana kabisa na South Sudan. Tanzania hakuna ujinga huo

Hii ni Mbeya, 900km from Dar, South West of the country (Southern Highlands) and still ni pasafi na pamestaarabika kuliko takataka mlizonazo Kenya, especially the whole upper half, meanwhile sisi hatuna maeneo takataka kama hayo

📍Mbeya
PXL_20260424_141212614.jpg
PXL_20260424_144009738.jpg
PXL_20260424_141159183.jpg
PXL_20260424_141102462.jpg
PXL_20260424_141007242.jpg
PXL_20260424_140723233.jpg
PXL_20260423_045132055.jpg
PXL_20260416_073322821.jpg
PXL_20260413_135036888.jpg
PXL_20260411_080632596~2.jpg
PXL_20260213_153215318.jpg
PXL_20260213_142414091.jpg
PXL_20260213_142311767.jpg
PXL_20260213_141705893.jpg
PXL_20260213_142037291.jpg
PXL_20260213_140602324.jpg
PXL_20260213_140558226.jpg
PXL_20260213_140545138.jpg
PXL_20260213_135245278.jpg
PXL_20260213_135242375.jpg
PXL_20260210_143241559.jpg
PXL_20260210_143237041.jpg
PXL_20260210_135153609.RAW-01.COVER.jpg
PXL_20260205_090853617.MP.jpg
PXL_20260205_090914512.jpg
PXL_20260205_090630082.jpg
 
Can you quantify "maisha magumu" in the case of Nairobi and do the same in the case of Dar
Like, Nairobi iko na slums nyingi kuliko Dar, na pia slums za Nairobi nyumba zimejengwa aidha kwa matope au mabati full, including walls pia, wanatumia mabati na wengine matope
Nikiangalia video za Kibera au Mathare moyo wangu unaumia sana kuwa bado Africa kuna sehemu watu wanaishi kwenye mabanda kama nguruwe 🥲
 
Duh hizi takwimu zako hapa tukiangalia kidogo zinatia simanzi kwa kweli..
Area size ya square km 2,000 Ina population ya watu 1.1 million, na area ya square km 35,000 Ina population ya watu 2.3 million.

Huko Kisumu wanajua namna ya kufanya family planning? Mbona wanazaliana kama panya kwenye kaeneo kadogo na hakuna hata resources za kuwa sustain? No wonder slums zinazidi kuongezekaa.
Kenya has one of the lowest fertility rates on Africa and one of the lowest birth rates in Africa. Kenya has one of the most effective family planning on Africa. Meanwhile , Tanzania has one of the hoghest. Population density has nothing to do with family planning and fertility rates in Africa Mr. AMARII the liker. Tanzania is more than 6 times larger than Japan with almost half the population yet Japan has such low birth rates that it's population has been shrinking for the last 30 years. You need a lesson in demographics. LAWD, you bongolalas literally need a lesson in everything.
 
Back
Top Bottom