Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,033
- 107,527
Substandard floor, ugly interior. Look at how dull the walls are.Huoni hiyo floor bado ni vumbi.? 😂😂 who told you iko ready.? Can’t you see vumbi in there. Yani juu waeke ceiling ya maana halafu chini waache hivyo.? Tuliza tako ujenzi uishe then come ulinganisha na zile domestic interiors zenu. 😂😂😂
Ugly interior, substandard floor.What's ugly in this photo. Unaumwa wewe 😳
Magoli zishaabadilishwa. Wadanganyika bana.😂😂😂Quality of life ya Zanzibar ni tofauti na Kisumu... Unaweza kuangalia mwenyewe huko huko ulikochukua takwimu. Angalia mtaani Zanzibar wanaishi vipi na mtaani huko Kisumu wanaishi vipi... Takwimu za mitandaoni sometimes ziko doctored.
Pia Zanzibar Iko under exploited. Wana resources nyingi sana ambazo hata waki double population wanaweza kuishi. The problem ni hizo slums tu na vile mnazidi kubanana kwa wingi eneo moja.
Magoli zishaabadilishwa. Wadanganyika bana.😂😂😂
Amenities kama gani unataka tulinganishe?Angalia maisha ya Zanzibar watu wake na amenities walizo nazo. Then linganisha na Kisumu.
Hapo kama ni kuhamisha magoli labda ukimbie wewe tu.
Unailazimisha faraja..? 😂😂😂Talanta Stadium interior
View attachment 3637936
Arusha Stadium interior.
View attachment 3637937View attachment 3637938
Nyamwezi, these are residential areas for ordinary wananchi in ZanzibarThe problem ni hizo slums tu na vile mnazidi kubanana kwa wingi eneo moja.
Hebu taja hizo amenities we compare notesAngalia maisha ya Zanzibar watu wake na amenities walizo nazo. Then linganisha na Kisumu.
Hapo kama ni kuhamisha magoli labda ukimbie wewe tu.
Nah bruh.Angalia maisha ya Zanzibar watu wake na amenities walizo nazo. Then linganisha na Kisumu.
Hapo kama ni kuhamisha magoli labda ukimbie wewe tu.
Wakenya hizo GDP zenu ni fake economy. Coz nchi yenu mna matatizo kuliko sisi. Kenya ina umasikini ambao huwezi kuupata anywhere in TanzaniaZanzibar has an area of 2k sq. Km with a population of 1.8M and a GDP of 3.75B AMARII THE LIKER. That's an area same as Kisumu county, a population larger than Kisumu county and a GDP smaller than Kisumu county........and Zanzibar is one of Vumbistan's most important economic zone. You need some education AMARII THE LIKER.
Zanzibar is better than KisumuNyamwezi, these are residential areas for ordinary wananchi in Zanzibar
View attachment 3637965View attachment 3637966View attachment 3637967View attachment 3637968View attachment 3637969
And this is the equivalent of Kisumu
View attachment 3637970View attachment 3637971View attachment 3637972View attachment 3637974View attachment 3637975View attachment 3637978View attachment 3637980View attachment 3637981
Now, by just looking at these two places, ni wapi ndio tunawezasema
Watu wamebanana kwa uwingi eneo moja?
They always move goal posts when cornered. Alafu huyu AMARII lazima ji mzanzibari. He ràrely comment or post in this forum. He's best know for being a "liker". Ila leo naona anatoa comments kisa homeground katajwa 🤣🤣🤣🤣Nah bruh.
You started the argument by comparing GDPs, I proved to you that Kisumu is actually doing better than Mbeya in terms of GDP with facts.
Then you went on to ramble how Kisumu is too small to have a population of 2 million and claimed that we have no family planning on Kenya. I proved to you that Kenya has in fact the highest family planning success in East Africa and proved to you that Zanzibar has more people per sq. Km than Kisumu With a lower GDP per capita, yet it is one of your main economic zones. Sasa umehamia kwa slums. Zanzibar yenyewe hiyo kwa picha, 90% slums.😂😂
I was prepared to walk you through this particular issue, but your silly sealioning response suggests the effort would be entirely wasted. You've shown little capacity for understanding the subject, so I'll leave you to your preferred version of reality. Have a good day.
View attachment 3637984
Amenities kama gani unataka tulinganishe?