joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hatuishi kwa hesabu za kichwani, kama huna chakula hizo hesabu za bilioni zinasaidia nini?, mnatia aibu bara la Africa kwa kutegemea chakula cha wazungu na wachina huku mkiendelea kuimba billions za hewaniMan shall not live by bread alone and that's why we ain't in the pathetic, unfortunate and sad LDC list. Fikisheni angalau $49 billion mwaka huu Kwenye GDP yenu ya kuhurumiwa.