stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,780
mwaiofhawaii has been long hatujakuskia
View: https://x.com/NytoP2PMwangi/status/2074902810982818124?s=20
View: https://x.com/NytoP2PMwangi/status/2074902810982818124?s=20
Ngumu sana kuwashauri watu ambao hawajasafiriAchana na Matatu wekeni BRT. Kujaza gari rangi na stika kama mafala imepitwa na wakati
Huwa naonaga wakipost haya magari yao, wamejaza stika nyingi, wanachafua gari zima eti ni cultureNgumu sana kuwashauri watu ambao hawajasafiri
sasa watafanya nn and thats all they have ever seenHii nayo ni ufala wa hali ya juu
View attachment 3633552View attachment 3633553View attachment 3633554
wana dj ndan na tv kwenye kona 😂😂 na kunguni za kutoshaHuwa naonaga wakipost haya magari yao, wamejaza stika nyingi, wanachafua gari zima eti ni culture
Culture ya matakataka, Kenya bado imejaa washamba
Nyiyi mnafaa ku relaxHalafu bado utawaskia Ukunduni wakijifariji kwa kudai hakuna direct flights Za Kilimanjaro na Arusha! ATI lazma zipitie JKIA. Air Tanzania Iliana kwenda London July 2027, the game will be over!
Kwa sababu ametaja kunyaland ghafla naonekana nashangilia ujinga jinga wewe. 😂😂😂Wacha kushangilia ujinga, you think those kind of people know the difference between Kenya and Tanzania? 😅😅 all they see is Africa
“Imepitwa na wakati” lakini hii ni “lifestyle” 🤣🤣Achana na Matatu wekeni BRT. Kujaza gari rangi na stika kama mafala imepitwa na wakati
That’s what I thought😂😂😂 video hazijakutosha
kwanza pelekeni leaders wenu shule..kuna wenye ata secondari hawakuingia..yaani mnaongozwa na vilaza in the name of CCMTell your leaders to travel more, wawasaidie kutoka kwenye hio takataka