Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



View: https://x.com/truesignalnews/status/2079136816293167212?s=46
Badala ya kuongelea wakenya hamuezi saidia ndugu zenu hawa ambao wako a couple thousand years behind? Ama ni picha za 490 AD? 😅

IMG_1946.jpeg
IMG_1948.jpeg
IMG_1949.jpeg
IMG_1947.jpeg
IMG_1950.jpeg
IMG_1952.jpeg
IMG_1954.jpeg
 
There are already too many Kenyans doing business in South Sudan. I am surprised they didn’t impose a quota on Kenya. South Sudan has a right to protect her interests as a free country.
The difference between our border relationships is that Kenyans go to South Sudan on business matters whereas Tanzanians go to Kenya to beg on the streets…
What can you get from destitute  Kenyans who can't afford a common mirror?

View: https://x.com/Kenyans/status/2079161193407615121?s=20
 
It's their choice wameamua kuishi hivyo. Sio umasikini ila ni their different lifestyle.
Screenshot_20260720-154338.png


Hii ni tofauti na hawa watu milioni 3 wanaoface njaa Kenya. Hawa wanapitia changamoto, sio by choice, bali ni umasikini na ukosefu wa chakula.
View:
View: https://www.youtube.com/watch?v=oP3qAYZr3jM&t=11s&pp=ygUPaHVuZ2VyIGluIGtlbnlh

Wahadzabe wao ni lifestyle yao, nyinyi huko kwenu ni umasikini. Njaa sio lifestyle. Again we are not the same even though you wish we were
 
Miaka yote hii hatujafika Mwanza na Kigoma ndio ameweka jiwe leo. Wapi kapeleka mikopo yote hile?
Katuchelewesha sana.
Kama umefuatilia kuna maelezo wametoa kuwa ujenzi ulikuwa unaendelea hasa kwenye sehemu ngumu kama madaraji mfano wa malagarasi ambayo yanahitaji walau misimu mitatu ya mvua ili yakamilike.
Kwa sasa naona wameanza tandaza tuta ambalo si kazi sana na ndo maana wamesema mpaka 2028 watakuwa wamekamilisha.
Hivyo tegemea sehemu kama saranda watakuwa washaanza kutoboa mlima
 
Back
Top Bottom