Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣😂but bro you can't blame them.kumbuka hizi ndio akili zinatumika hapa jf...View attachment 3633562View attachment 3633581
ni kwel kabisa you cant blame them, results mbna zpo public, these are your education results 😂😂
1784555068186.png

1784555112160.png
 
“Imepitwa na wakati” lakini hii ni “lifestyle” 🤣🤣View attachment 3633566
Hii nayo ni shida ya kuelewesha mtu mwenye low IQ
Wahadzabe wanaishi maisha yao msituni, hata hawachangamani na sisi
But hizo matatu zipo town tena kwenye your biggest city. Wekeni BRT, achana na hizo buses zinakaa night clubs. Slow man 🚮
 
we mzee sio kwamba hawaelewi, there is a way to handle them, dont explain sense to them, they are poor
 
Back
Top Bottom