Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,814
- 16,010
Hii nayo ni shida ya kuelewesha mtu mwenye low IQ“Imepitwa na wakati” lakini hii ni “lifestyle” 🤣🤣View attachment 3633566
Wahadzabe wanaishi maisha yao msituni, hata hawachangamani na sisi
But hizo matatu zipo town tena kwenye your biggest city. Wekeni BRT, achana na hizo buses zinakaa night clubs. Slow man 🚮